Monthly Archives: February 2012

Twiga ni kiumbe mrefu kuliko wote duniani na anakadiriwa kuwa anaweza kukua hadi futi 19

Taarifa ya kuuawa kwa Dr Harison Mwakyembe na Wenzake iliandikwa na Mwakyembe mwenyewe miezi sita kabla hajapewa sumu na kuiwasilisha Polisi.

Tuhuma za kutaka kuuawa kwa Dk.Mwakyembe na wenzake kwa IGP, Februari 8, mwaka jana, Dk. Mwakyembe alizungumza na baadhi ya viongozi waandamizi wa Jeshi la Polisi makao makuu ya jeshi hilo, jijini Dar es Salaam, na kuelezea wasiwasi wa… Continue reading

Waendesha pikipiki songea wakiwa wamefunga barabara inayoelekea kwa mkuu wa mkoa ili kushinikiza serikali kuzuia mauaji ya kikatili ya raia zaidi ya 15 wasikuwa na hatia wanaoendelea kuuwa Songea na watu wasiojulikana tangu mwezi novemba mwaka jana 2011.

 

 

 

 

 

Baada ya kujivua gamba, sasa Rostam Aziz ataka kujivua uraia wa Tanzania kwa kutorokea Indonesia.. Jaribio la kutorosha mali zake nje lazimwa. Nadhani sasa anajionyesha kuwa hakuwa mwenzetu. baada ya kupora mali za nchi na baada ya Dowans kulipwa sasa nataka kuhamisha utahiri wake wote Indonesia ambako nahisi ndiko asili yake.

By: Lilian Kivuyo

Haya ni maneno yangu, wanawake watachukua nafasi kubwa ya kiuchumi Afrika katika karne ya 21. Fuatilia orodha hii hapa chini jinsi wanawake wanavyoendelea kuwa mamilionea wa karne ya 21

Isabel Dos Santos (Angola)

Jina: Isabel Dos Santos Raia: Angola Net Worth: Unknown Chanzo: Uwekezaji binti wa kwanza wa Rais wa Angola, Jose Eduardo dos Santos, Isabel dos Santos alianza biashara… Continue reading

 

Michele Obama ana wafanyakazi wapatao 22 na mishahara yao ni kama ilivyoonyeshwa hapa chini:

Wa kwanza .. $ 172,200 – Sher, Susan (Mkuu wa Wafanyakazi) wa pili .. $ 140,000 – Frye, Jocelyn C. (Naibu Msaidizi wa Rais na Mkurugenzi wa Sera na Miradi Kwa Lady Kwanza) Tatu .. $ 113,000 – Rogers, Desireé G. (Special Msaidizi wa Rais… Continue reading

Zambia washinda kome la mataifa ya Afrika 2012 kwa mara ya kwanza na kuwaenzi vizuri mashujaa wenzao walifariki duniani miaka takribani 19 iliyopita Continue reading
Alihukumiwa kifo baadaye na muda mfupi kabla ya hukumu ya kifo kutekelezwa alimuomba kalamu na karatasi afisa wa magereza na kuandika barua ya kuagana kwenda kwa binti wa afisa wa magereza, maandishi ambayo yanaishi mpaka leo. Barua hiyo ndio inaaminika kuwa kadi ya kwanza ya valentine. Continue reading

Timu ya soka bora duniani mwaka 2011kwa viwango vya FIFA (SHirikisho la Soka Duniani) ni timu ya Taifa la Hispania, Timu za Greece, Norway, Urusi, Italy, Chile, Ghana, Slovenia, Japan zimepanda viwango vya kandanda, timu ya ufaransa imeshuka kiwango cha soka kwa viwango vya FIFA.

 

 

 

Timu zingine 20 bora duniani hizi hapa:-… Continue reading

Annie Jones ambaye ni mzaliwa wa Virginia, Marekani ndie mwanamke mwenye ndevu nyingi kuliko wote duniani? Alizaliwa tarehe 14, 1865  akiwa amefunikwa na wingu la nywele mpaka wazazi wake wakamwita “ESAU”.

Chanzo: http://f-r-e-a-k-s.tumblr.com/

Wanawake wenginbe wenye ndefu nyingi ni:

  1. Vivian Wheeler kutoka Marekani
  2. Madame Josephine Clofullia Wa Uswisi.

Jiunge Kupokea Taarifa

Weka barua pepe yako hapa kupokea taarifa mpya zinapotokea


 

RSS News

Waliotutembelea

Waliotutembelea Leo: 27
Jana: 113
Mwezi huu: 1564
Jumla: 21731
Walioko hewani Sasa: 1
Waliosoma leo: 347
Waliosoma jana: 1732
Mwezi huu: 27604
Jumla: 276985

Picha Maalum