Napenda kuchukua fursa hii kama mtanzania kuwahabarisha WATANZANIA WOTE kuwa Shirika letu la Ndege la Taifa ATCL – Imeleta ndege aina ya boeing 737-500 yenye uwezo wa kubeba abiria 108 kwa mkupuo.
Safari zake zitaanza rasmi ijumaa tarehe 18 Mei 2012, kwa kwenda Mwanza kupitia Kilimanjaro, na muda wa safari ni DAR-KILIMANJARO itaondoka saa 1 asubuhi na kutarajiwa kufika Kilimanjaro… Continue reading
Kama tatizo la wizara ya nishati na madini ni CV duni ya viondozi waliotangulia kuiongoza wizara hiyo, basi sasa wizara imempata mchapa kazi na mtaalam aliyeshiba CV ( taaluma na uzoefu) katika nyanja ya geolojia, mhadhiri wa chuo kikuu cha Dar es salaam kwa miaka mingi na mmoja wa wanasayasi wanaoheshimika sio tu Tanzania na Afrika lakini duniani kote. Huyu… Continue reading
Rais Jakaya Mrisho Kikwete amewasili mjini Blantyre , Malawi leo jioni kuhushuria Mazishi ya Profesa Bingu wa Mutharika, aliyekuwa Rais wa Malawi., aliyefariki tarehe 5 April, 2012 Kufuatia matatizo ya Moyo
Rais Kikwete ni miongoni mwa Viongozi wakuu Saba kutoka nchi jirani na Malawi.
Nchi hizo ni Afrika Kusini, Benin, Kenya, Msumbiji, Zimbabwe na Zambia.
Wakati huohuo Ikulu inapenda kukanusha… Continue reading
Waziri Mkuu Mizengo Pinda atatoa msimamo wa serikali Jumatatu ijayo ya 23 April 2012 juu ya kujiuzulu kwa Mawaziri wote wanaotuhumiwa kwa ufisadi. “Ukweli kujulikana Jumatatu, 23 Aprili 2012″. Hayo yalisemwa na waziri mkuu, Ndg Mizengo Pinda.
Miongoni mwa mawaziri mafisadi wanaoshinikizwa kujiuzulu na baadhi ya wabunge wa CCM na upinzani ni:
Kocha wa mpira wa miguu aliyekaa na timu moja kwa muda mrefu ni Sir Alex Ferguson anayeifundisha timu ya mpira ya miguu ya Manchester United. Ferguson amezaliwa 31 December 1941huko Scotland. Akiwa kama mchezaji na baadaye kocha wa timu ya Manchester United tangu 1986 inamfanya kuwa sio tu kocha aliyeifundisha timu moja kwa zaidi ya miaka 25, lakini pia… Continue reading
Na Manyerere Jackton, Dodoma
Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh, ya mwaka wa fedha unaoishia Juni 30, 2011; imeendelea kufichua namna kundi la watumishi wa umma na wafanyabiashara wakubwa wanavyoitafuna Tanzania.… Continue reading
SIMBA SC imesonga mbele mashindano ya CAF na kuingia Raundi ya Tatu kwa faida ya bao la ugenini baada ya kufungwa mabao 3-1 na ES Setif ya Algeria na kufanya matokeo ya jumla kuwa 3 kwa 3. Simba imepata bao hilo la ugenini kwenye uwanja wa mjini Setif katika mchezo wa marudiano tarehe 8 Machi 2012, baada ya ule wa… Continue reading
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeibuka kidedea katika uchaguzi mdogo wa ubunge iliyofanyika jana Tarehe 1 Aprili 2012, Jumapili katika jimbo la Arumeru Mashariki. Joshua Nassari wa CHADEMA alishinda kwa asilimia takriban 55 zaidi ya mpinzani wake wa karibu, Sioi Sumari wa CCM aliyepata asilimia 45.
Pamoja na hali tete ilighubika kampeni za uchaguzi wa Ubunge katika… Continue reading
Msichana anayekula sana na anayetarajiwa kuwa mnene kuliko wote duniani, Sussane anatarajia kuolewa na mpishi. “Tutafanya wawili wanaoendana, ninapenda kula na yeye anapenda kupika. Atanisaidia kufikia malengo kwa kunilisha” Hayo aliyasema Sussane ambaye picha yake ipo hapo kulia akilishwa na mwenzake mtarajiwa.
Chanzo: The SUN
Marekani ina majimbo hamsini (50). Majimbo mawili ya mwisho kujiunga na umoja ni Alaska (49) na Hawaii (50). Yote yalijiunga mwaka 1959.
Kila jimbo la marekani lina uhuru wake wa kujiamlia mambo yake yenyewe ambao unashirikishwa katika serikali ya shirikisho. Kwa sababu ya madaraka haya ya pamoja, Marekani ina uraia wa aina mbili, uraia wa shirikisho na wa jimbo… Continue reading
Taarifa hapa chini imetolewa na chama cha madaktari Tanzania (MAT) na inaonyesha kuwa kuna uwezekano mkubwa wa mgomo kuanza tena baada ya tarehe 7 Machi 2012. Kwa undani zaidi endelea kusoma taarifa yenyewe:
05/03/2012 MSIMAMO JUU YA UTEKELEZAJI WA MADAI YA MADAKTARI
KAMA TULIVYOTOA TAARIFA KWENYE KIKAO CHA MADAKTARI CHA MARCH 3, NI KWAMBA
MAKUBALIANO YALIYOFIKIWA NA HATIMAYE KUTIWA SAINI… Continue reading
Taarifa ya kuuawa kwa Dr Harison Mwakyembe na Wenzake iliandikwa na Mwakyembe mwenyewe miezi sita kabla hajapewa sumu na kuiwasilisha Polisi.
Tuhuma za kutaka kuuawa kwa Dk.Mwakyembe na wenzake kwa IGP, Februari 8, mwaka jana, Dk. Mwakyembe alizungumza na baadhi ya viongozi waandamizi wa Jeshi la Polisi makao makuu ya jeshi hilo, jijini Dar es Salaam, na kuelezea wasiwasi wa… Continue reading
Baada ya kujivua gamba, sasa Rostam Aziz ataka kujivua uraia wa Tanzania kwa kutorokea Indonesia.. Jaribio la kutorosha mali zake nje lazimwa. Nadhani sasa anajionyesha kuwa hakuwa mwenzetu. baada ya kupora mali za nchi na baada ya Dowans kulipwa sasa nataka kuhamisha utahiri wake wote Indonesia ambako nahisi ndiko asili yake.
By: Lilian Kivuyo
Haya ni maneno yangu, wanawake watachukua nafasi kubwa ya kiuchumi Afrika katika karne ya 21. Fuatilia orodha hii hapa chini jinsi wanawake wanavyoendelea kuwa mamilionea wa karne ya 21
Jina: Isabel Dos Santos Raia: Angola Net Worth: Unknown Chanzo: Uwekezaji binti wa kwanza wa Rais wa Angola, Jose Eduardo dos Santos, Isabel dos Santos alianza biashara… Continue reading