Familia na ndoa
Family & marriages
Msichana anayekula sana na anayetarajiwa kuwa mnene kuliko wote duniani, Sussane anatarajia kuolewa na mpishi. “Tutafanya wawili wanaoendana, ninapenda kula na yeye anapenda kupika. Atanisaidia kufikia malengo kwa kunilisha” Hayo aliyasema Sussane ambaye picha yake ipo hapo kulia akilishwa na mwenzake mtarajiwa.
Chanzo: The SUN
Baba mdogo kuliko wote duniani huyu hapa na mke wake
Mtoto Face Alfie, ambaye ana miaka 13 (kulia)ndie baba mdogo kuliko wote duniani. Yeye pamoja na rafiki yake wa kike Chantelle Steadman (15) (kushoto) kutoka Sussex County nchini Uingereza waliamua kumzaa Maisie Roxanne mwenye ratili 7 katikati
Chanzo chetu: The Sun