Mawasiliano na Utangazaji

Communication, publishing & broadcasting

Mh. Mbunge wa Kigoma kaskazini, waziri kivuli wa fedha na mwenyeketi wa kamati ya bunge ya uwekezaji wa umma Zuberi Zitto Kabwe anakusudia kupeleka muswaada binafsi wa kufuta sheria kandamizi ya magazeti ya 1976.Sheria ya Magazeti (The Newspaper Act...
Simu ya Apple ya Iphone 6 imeshaingia kwenye soko. Simu hii imekuja na maajabu mengi mojawapo niKiioo cha maajabuProjector ya ajabuAngalia zaidi mwenyewehttp://youtu.be/zeCpeGyyu6I
Katika mkutano na waandishi wa habari leo mchana, mkurugenzi mtendaji wa Mwananchi Communications Limited (MCL), Tido Mhando, ametangaza Mwananchi linarudi kwa kishido, likielekeza nguvu zake katika kuelimisha na kuhabarisha umma.
ZIKIWA zimebakia siku mbili kabla ya serikali kuanza kuwatoza kodi ya laini (sim card) watumiaji wa simu, Taasisi ya Watumiaji wa Bidhaa na Huduma imefungua kesi Mahakama Kuu kupinga sheria hiyo.Taasisi hiyo ya Consumers of Goods and Services Across...
TAMKO LA SERIKALI Serikali imeyafungia  kutochapishwa Magazeti ya MWANANCHI na MTANZANIA kuanzia 27 Septemba,2013  kutokana na mwenendo wa magazeti hayo kuandika habari na makala  za uchochezi na uhasama kwa nia ya kusababisha wananchi wakose imani kwa vyombo vya dola hivyo...
Gazeti la JAMHURI  la Jumanne, Agosti 27 - Septemba 2, 2013 limewataja majaji wanaowalinda wauza unga Tanzania Fuatilia taarifa nzima hapa chiniNa Waandishi Wetu, Dar na Zanzibar Mahakama kupitia baadhi ya majaji na mahakimu wasio waadilifu imebainika kuwa kikwazo kikubwa katika...
Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Radio Tanzania Dar es salaam au kwa kifupi RTD kati ya miaka ya 70, 80 na 90 waliovuma katika Idhaa zake za Kiswahili na Kiingereza. Wakati huo radio zilizotumiaka alimaarufu kama redio za phillps na...
A weekly package that offers 150 minutes Tigo-Tigo, 150 minutes to call ANY NETWORK, Unlimited sms & internet browsing for 7 days. For only 9000Tsh your communication needs for 7days are sorted.BENEFITSA customer has more flexibility on how and...
Wasiliana ndani na nje ya mtandao kwa bei moja poaVifurushi vya siku Dakika* SMS IntanetiTosha *349 10 100 25 MBTosha *499 25 200 75 MBTosha *749 30 bila kikomo 250 MBTosha *999 40 bila kikomo 400 MBVifurushi vya wiki  Dakika* SMS IntanetiTosha *1,999 70 700 175 MBTosha *2,999 175 1,400 500 MBTosha *4,499 210 bila kikomo 1.5 GBTosha *5,999 275 bila kikomo 3 GBVirushi vya Mwezi Dakika SMS IntanetiTosha *9,999 350 *Bila Kikomo 1GBTosha...
Julian Assange ambaye ni muasisi wa mtandao uliojipatia umaarufu kwa miaka ya hivi karibuni wa wikileaks kwa kulipua na kuanika uozo unaofanywa kwa siri na mataifa makubwa wanaojidai kuwa za kidemokrasia na wazi kwa watu wao amepewa hati maalumu...
Hadithi juu ya kabila ya Afrika nchini India iliyosahaulika kwa  muda imemfanya mwandishi kutoka Kenya kupata tuzo ya CNN Multichoice Afrika 2012.Tom Mboya na Evanson Nyaga wa "kabila ya Afrika nchini India," ambayo kurushwa hewani kwenye Television Mwananchi wa...
Darubini 10 kubwa kuliko zote duniani ni hizi hapaJina na sehemu zilipo Urefu kutoka usawa wa bahari (m) Kipenyo cha lensi ya msingi (m) Mwaka wa kuanzishwa Jina la Darubini na Mji (kama ni Tofauti na Sehemu)1.  Mauna Kea Observatory (Hawaii,...