TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIMtakumbuka ni muda sasa sijaonekana wala kusikika katika harakati za kisiasa. Leo nimependa kuweka bayana ili umma wa watanzania ufahamu kwani kumekuwa na upotoshwaji mkubwa juu ya ukimya wangu.Napenda umma wa watanzania ufahamu yafuatayo:-1. Msimamo...
Wazili Mkuu ALIYEJIUZULU kwa kashfa, Edward Lowasa ambaye mwaka jana alijiengua kutoka CCM na kuhamia CHADEMA, anatajariwa kukihama nacho na kuingia chama kingine wakati wowote kuanzia sasa.Tayari Lowasa amemtanguliza mmoja kati ya "maswahiba" wake wakubwa wa kisiasa, Goodluck Ole...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA KUHUSU KUFUNGULIWA KWA KESI MBILI; KUOMBA KUTENGULIWA KWA ZUIO LA JESHI LA POLISI NA BUNGE LIVE Taarifa inatolewa kwa umma  kuwa Baraza la Wadhamini wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Katibu Mkuu...
DK. Vincent Mashinji ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kupitishwa na Baraza Kuu la Chadema, katika kikao chake kilichokaa jijini Mwanza, anaandika Mwandishi Wetu.Katika Kikao hicho cha Baraza Kuu, Freeman Mbowe alitangaza...
Haina maana ukibadilisha dereva wa treni lile la zamani linalotumia kuni litaweza kukimbia kilomita 500 kwa saa kama lile la umeme.Tunaposema gari moshi haliwezi kukimbia kilomita 500 kwa saa tuna maana mfumo wake wa utendaji kazi ndio unaamua likimbie...
Hawana shida na siasa? Marafiki wamemchangia kuanzisha miradi mikubwa ya kujikimu?? Wataanzisha shule na hospitali watatumia 20% ya ghrama kwa mapato yao waliohifadhiSwali hao marafiki ni akina nani? Je hao marafiki ni pamoja na ya hao walliomfadhili kumshambulia Lowassa na CHADEMA?  704
Mambo kumi (10) ambazo zitashusha Heshima ya Dr SlaaAlikuwa mtu wa kwanza na mstari wa mbele kumelta LOWASSA CHADEMA hivyo alikuwa tayari kumleta LOWASSA CHADEMA huku akijua na kuamini kuwa LOWASSA ni fisadi na kwa hiyo sasa akimshambulia ni...
Date: Tuesday, September 1, 2015 HOTUBA YA DR SLAA SERENA HOTEL 1 SEPTEMBA 2015 KWA UFUPINapenda  kumshukuru  mwenyezi mungu  kwa  kutujali  uzima. Nimeamua  kujitokeza  leo  hii ili  kukomesha  upotoshaji  na  kuuweka  wazi ukweli. Sina tabia  ya  kuyumbishwa  na  ninasimamia ninachokiamini. Sina  ugomvi  na  kiongozi...
Haijawahi kutokea sio tu Tanzania bali hata Afrika nzima kwa watu waliohuduma katika ngazi za juu kabisa serikalini na katika chama tawala kujiunga na upinzani Waziri mkuu mstaafu Fredrick Sumaye naye atangaza kujiunga na UKAWA basi hii itakuwa imekiua CCM...
Na Ananilea NkyaNimeandika  hoja hii baada ya kusoma na kusikia  hoja zinazotolewa na  baadhi ya Watanzania kwamba  eti CHADEMA , CUF, NCCR-Mageuzi  na NLD  -vyama vinavyounda UKAWA kwa kumsimamisha   Edward Lowassa kugombea Urais  vimepoteza usafi  wa kuongoza  mapambano dhidi...
Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) mnamo tarehe 13 Agosti 2015 kilitangaza majina ya wagombea ubunge, ubunge viti maalum, uwakilishi na uwakilishi viti maalum. Akizungumza na waandishi wa habari kwenye ofisi za makao makuu ya CCM mjini Dodoma, Katibu...
Katika barua yake aliyoiandikia kamati kuu ya ACT Wazalendo, Prof Kitila Mkumbo amesema kuwa hakubali uteuzi huo kwani hayuko tayari kisaikolojia, kifamilia na kisiasa kuchukua jukumu hilo.Ikumbukwe kuwa Prof Kitila Mkumbo ni mojawapo wa wasomi wa kwanza kabisa kuusifia...
Mgawanyo wa majimbo kwa vyama vya siasa vilivyo chini ya umoja katiba ya wananchi(UKAWA), Mgawanyo unaonyesha mkoa, jimbo na CHAMA ambacho kipo chini ya UKAWA wapi kitapeperusha bendera yake.Kwa ufupi: CHADEMA 137, CUF 49, NCCR 14, NLD 3 Arusha 1.    Arumeru...
Hapo zamani za kale walitoke vijana wawili waliokua marafiki sana. Mmoja akiitwa "mtoto wa tajiri" na mwingine "ndugu mkware".. Waliitwa "Boys 2 Men" kwa jinsi walivyoshibana. Mtoto wa Tajiri baba yake alikuwa na mali nyingi lakini "ndugu mkware" alikuwa...
Breaking news:  Mwenyekiti wa ccm mkoa wa Arusha mhe. Onesmo Ole Nangole na Mwenezi wa Mkoa mhe. Isaac Joseph ( kadogoo ) wajiondoa ccm na kuhamia chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema huku wakidai wamechoshwa na matusi ya Kinana na...
Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara, Ndg.Said Amour Arfi ambaye alijiunga na Chama cha mapinduzi (CCM) hivi karibuni amesema anafikiria kujiondoa CCM na kujiunga na chama kingine cha upinzani (hakukitaja jina), kwa kuwa hakuna demokrasia ya kweli ndani...
Profesa Ibrahim Haruna Lipumba aliyekuwa mwenekiti wa Taifa wa Chama cha Wananchi - CUF kwa miongo kadhaa na aliyekuwa mwenyekiti mwenza wa UKAWA ametangaza kujiuzulu leo wadhifa wake ndani ya CUF. Sababu kubwa ya kujniuzulu ni madai kuwa UKAWA...
Topic:Usahihi dhidi ya propaganda ya gazeti Raia Tanzania na vibaraka wake juu ya Dr.slaa.Na.Tumaini Makene.Ziko habari za uzushi kuhusu Katibu Mkuu Dk. Slaa, zinaandikwa na kuenezwa na Gazeti la Raia Tanzania kwa siku kadhaa mfululizo sasa.Uongo huo wa Raia...
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU MGOMBEA URAIS KUREJESHA FOMU Taarifa inatolewa kwa vyombo vya habari umma wa Watanzania kuwa baada ya hatua ya kuchukua fomu ya kuwania uteuzi wa ndani ya chama kugombea nafasi ya urais, Mheshimiwa...
Edward Loawassa Akihutubia Press Conference Baada ya Kupokelewa Rasmi CHADEMA