Baada ya kujivua gamba, sasa Rostam Aziz ataka kujivua uraia wa Tanzania kwa kutorokea Indonesia.. Jaribio la kutorosha mali zake nje lazimwa. Nadhani sasa anajionyesha kuwa hakuwa mwenzetu. baada ya kupora mali za nchi na baada ya Dowans kulipwa sasa nataka kuhamisha utahiri wake wote Indonesia ambako nahisi ndiko asili yake.
By: Lilian Kivuyo
Haya ni maneno yangu, wanawake watachukua nafasi kubwa ya kiuchumi Afrika katika karne ya 21. Fuatilia orodha hii hapa chini jinsi wanawake wanavyoendelea kuwa mamilionea wa karne ya 21
Jina: Isabel Dos Santos Raia: Angola Net Worth: Unknown Chanzo: Uwekezaji binti wa kwanza wa Rais wa Angola, Jose Eduardo dos Santos, Isabel dos Santos alianza biashara… Continue reading
Je wajua historia ya tajiri wa pili duniani Warren Buffet? Yeye anamiliki zaidi ya dola za kimarekani bilioni 50 na ameshachangia zaidi ya billion 30. Haya ndio baadhi ya mambo yake muhimu kuzingatia:
Bilionea Tajiri Kuliko Wote Duniani 2010 ni Carlos Slim kutoka Mexico, ana utajiri wa kiasi cha dola za kimarekani billioni 53.5.
Orodha kamili ya mabilionea 50 duniani hii hapa:
Nchi 3 Zenye Mabilionea Wengi Duniani 2010 ni Hizi Hapa:
Jina la Nchi Idadi ya mabilioneaChanzo chetu: Forbe