Source: http://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/782068-huyu-ndiye-fisadi-hatari-zaidi.html FISADI ANAYETUMIA KISINGIZIO CHA KUTETEA WANYONGE KUZIFANYA CHUKI ZAKE BINAFSI ZIWE NI UGOMVI WA KITAIFA:Kwa miaka mingi kumukuwepo na jitihada za makusudi kabisa zinazofanywa na vyombo vya habari vya IPP kuchafua baadhi ya wizara za serikali, watu binafsi na...
Gwajima afunguka sakata la Mbasha MCHUNGAJI Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima la jijini Dar es Salaam, Josephat Gwajima, amefunguka na kuuweka hadharani uhusiano wake na familia ya waimbaji wa nyimbo za Injili nchini, Flora Mbasha na mume wake,...
"Mchungaji ...yapata kama wiki mbili zilizopita nilihoji kupitia vyombo vya habari juu ya ‘utajiri' wa ghafla wa mkewangu Mara baada ya mgogoro kutokea kati yangu na yeye, bila kupoteza muda mkewangu akanijibu kupitia gazeti moja la udaku kuwa amechangiwa...
Ndoa ya Michelle na Barack Obama yaweza kuvunjika kwa talaka kutokana na mapito magumu ambayo ndoa hiyo ilipitia na bado inaendelea kupitia.
Zitto Kabwe.Nataka ujue kwamba kati ya watu 10 wajinga au wapumbavu, utakuwa mmoja wao. Nakushangaa kila siku unajigamba una akili. Akili gani uliyonayo wakati unanunuliwa na watu wapumbavu kama Mwigulu Nchemba.Unashirikiana na TISS pamoja na makada wakubwa wa CCM,...
Mnyonge mnyongeni lakini asinyongwe peke yake Kama taarifa hizi za gazeti la uwazi ni za kweli basi huyu denti feki ni tapeli la mwaka ambaye inasadikiwa anamiliki majina kama manne ikianza na la Felister halafu Halima hamad, Halima Hamadi, Leila na Laylat Kama Kapuya katembea naye basi kaingizwa mjini na kingi hii ni kubwa sana
MBUNGE wa Urambo Magharibi, Profesa Juma Kapuya (CCM), ameingia katika matata. Katika kujaribu kudhibiti mtoto wa shule ambaye anadai alibakwa naye na kuambukiwa virusi vya ukimwi, mbunge huyo ametoa vitisho vya kuua mtoto huyo na kujiua kama njia ya...
Viongozi wa TANZANIA: Wanaweka pesa USWISS, Wanatibiwa INDIA, Wanajenga LONDON, Wanawekeza U.S.A au S.AFRICA, Shopping DUBAI, Likizo na matanuz PARIS na kuungama wanaenda Israel au SAUD ARABIA lakini wakifa wanazikwa TANZANIA,hivi? Tanzania ni MAKABURINI au?. Nijibu isijekuwa naishi makaburini bila kujua.