Leo nimetumiwa ujumbe huu hapa chini kutoka kwenye namba ya 0756868160BN84BG705 Imethibitishwa Umepokea Tsh50,000 kutoka kwa AIZA  MOLEII Tarehe 17/5/15 saa 12:23 PM Salio lako la M-PESA ni Tsh50,0000Mtumaji alidai amenitumia MPESA kwa bahati mbaya kwani alikuwa akimtumia rafiki yake halafu akakosea...
Mahakama ya kisutu jana ilirule out kesi na kuwatia hatiani wakurugenzi wanne kati ya watano wa kampuni ya Development Entrepreneurship for Community Initiative (DECI) kwa kuwaadhibu kifungo cha miaka mitatu au faini ya jumla ya Shs milioni 21. Mmoja...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI kutoka ofisi ya kamanda wa plisi mkoa wa Arusha KUHUSU TUHUMA ZILIZOTOLEWA NA MBUNGE WA ARUSHA MH.GODBLES LEMA KUTUHUMUWA UJUMBE WA VITISHO NA MKUU WA MKOA WA ARUSHA MH.MAGESA MULONGONDUGU WANA HABARI mtakumbuka kwamba katika kipindi...
SIKU moja baada ya Mkurugenzi wa Mambo ya Katiba wa CHADEMA, Tundu Lissu kufichua njama zinazofanywa ili kutengeneza ushahidi wa uongo kwa ajili ya kuutumia katika kesi ya ugaidi inayomkabili Wilfred Lwakatare, baadhi ya wahusika wameanza kuvurugana.Kwa mujibu wa...
Hatimaye siri ya kutekwa, kuteswa na kunyofolewa kuchwa kwa Mhariri Mtendaji wa magazeti ya New Habari, Absalom Kibanda na unaoitwa mkanda wa video wa Willifred Lwakatare, imefichuka rasmi.Kwamba mchezo mzima umefanywa na Idara ya Usalama wa Taifa na ofisi...
Jumamosi wiki hii nikiwa kazini, nilipokea ujumbe ufuatao kutoka namba 0714-530869 ulioambatana na mneno yafuatayo "Habari za kazi ndg yangu Kulwa, mm Charles Mganga, simu yangu ina matatizo kdg, upo wapi muda huu? naomba unijib kwa msg niko kikaoni"....
Wasiwasi wa kutokea kwa utapeliWiki iliyopita nilipigiwa simu na jamaa anayedai kunifahamu na kunisihi niwe mwakilishi wake hapa Arusha kwa ajili ya ajira ya wafanyakazi wa shirika lao linaloitwa APAPO. Alidai shirika limesajiliwa katika nchi nyingi Afrika lakini yeye...
Leo nilipokea simu kutoka namba hii hapa 0783784005 ikinitaka nijiunge na Freemason. Baada ya kukataa mpigaji alidai nisubiri mabaya yatakayonipata usiku wa Leo. Sauti yenyewe ilikuwa artificial. Yaani kama ya kijana wa kiume mdogo wa teenage hivi, halafu alikuwa...
Makampuni takriban yote yanayotoa huduma za pesa kwa njia ya elektroniki (hasa ya Makampuni ya simu na mabenki) huwaibia wateja wao pesa nyingi bila wao kujuaTeknolojia mpya haiji tu na faida kwa watumiaji, hasa katika kumuokolea mtumiaji muda lakini...