uhamiaji na makazi

Nchi Kongwe kwa Ustaarabu Duniani ni Misri.

Misri ya kale yakadiriwa miaka 3,000 iliyopita ndiyo jamii kubwa iliyostaarabika kutokea Duniani. Wamisri waliishi kandokando ya mto Nile na kitamaduni walistaarabika katika namna wanavyoongea, wanavyoabudu, wanavyoelewa na kuchukulia ulimwengu wa kaisili, walivyojiendesha kwa serikali mbalimbali, walivyoishi, walifanya matukio ya kijamii na burudani mbali mbali, na jinsi walivyojihusisha na wengine ambao hawakuwa wamisri.

Miji 20 Kubwa Kuliko Zote Duniani ni:

Na Mji/Nchi Makadirio ya Watu Ktk Milioni 2003 2010 1 Tokyo, Japan 35 43.93 2 Mexico City, Mexico 18.7 23.47 3 New York, United States 18.3 22.97 4 São Paulo, Brazil 17.9 22.47 5 Mumbai, India 17.4 21.84 6 Delhi, India 14.1 17.70 7 Kolkata (Calcutta), India 13.1 16.44 8 Buenos Aires, Argentina… Continue reading

Jiunge Kupokea Taarifa

Weka barua pepe yako hapa kupokea taarifa mpya zinapotokea


 

RSS News

Waliotutembelea

Waliotutembelea Leo: 28
Jana: 113
Mwezi huu: 1565
Jumla: 21732
Walioko hewani Sasa: 2
Waliosoma leo: 363
Waliosoma jana: 1732
Mwezi huu: 27620
Jumla: 277001

Picha Maalum