Mchungaji mmoja wa kipentekoste aliingia bar moja hapo Dar ili ahudumiwe kinywaji.Mhudumu alipofika kwenye meza yake Mchungaji alimuagiza kinywaji:Mchungaji: nipe bia ya kilimanjaro ya baridi Mhudumu kwa sababu ya mambo mengi alipofika kaunta akasahau kama aliagizwa bia ya kilimanjaro moto au baridi.Alimrudia na kumuulizaMhudumu: Samahani Mchungaji, hivi uliniagiza bia ya kilimanjaro ya moto au baridi?Mchungaji akafadhaika kwa vile mhudumu alimtambua kuwa ni mchungaji naye haraka akamjibu hivi:Mchungaji: nimesema maji ya kilimanjaro baridi.
Kuna mambo mawili ukizaliwa na kuishi yatakuhusuNi ama wewe utazaliwa mwanaumeAu wewe utazaliwa  mwanamkeKama wewe utazaliwa mwanamke uko salama, Lakini kama wewe utazaliwa mwanaume kuna mambo mawili yatakuhusuAidha...
Je unajua vichekesho kanisani? ulishasikia mojawapo, hebu fuatilia hii hapa.Kulikuwa na familia moja ya wacha Mungu vizuri tu pale Dar es salaam. Walikuwa wakisali kanisa moja la kilokole.  Mwanaume alikuwa na tabia ya kulala usingizi kila akiingia ibadani. Siku...
Kulikuwa na harambee ya kujengea ukuta makaburi ya kanisa mojaWaumini wakaambiwa watoe michango ya pesa ili wazungushie ukuta eneo la makaburi hayo. Mchungaji akauliza kuna mtu mwenye swali? Mlevi naye akamuuliza mchungaji“Je kuna Marehemu yoyote aliyewahi kutoroka? Kama hakuna, kwa nini...
Waumini waliambiwa watoe michango ili wazungushie ukuta eneo la makaburi. Mchungaji akauliza kuna mtu ana swali? Mlevi akauliza "Je kuna Marehemu yoyote aliyewahi kutoroka? Kama hakuna, ukuta wa nini sasa? Au ndio ufisadi hadi kwenye makaburi...? Mchungaji kimyaaaaa!.......................................................................................