Picha za Kuchekesha

picha za kuchekesha vinakupa fursa ya kuburudika, kucheka na kuelimika kupitia picha

Je unajua vichekesho kanisani? ulishasikia mojawapo, hebu fuatilia hii hapa.Kulikuwa na familia moja ya wacha Mungu vizuri tu pale Dar es salaam. Walikuwa wakisali kanisa moja la kilokole.  Mwanaume alikuwa na tabia ya kulala usingizi kila akiingia ibadani. Siku...
Katika nyumba moja, baba katika kulala na housegirl mtoto wake wa kiume akamfumania na maelezo yakawa hivi:Mwanangu, ebu chukua hii Shs 500 halafu usimuambie mama yako kuwa nimelala na housegirl.Mtoto: sitaki, we baba ni mbahili sana, mbona mama akilala...
Vifuatavyo hapa chini ni picha za vichekesho. Mtandao huu una lengo la kukuongezea umri wa kuishi ukiwa na afya nzuri na bora kwa kucheka.HABARI - 27/10/07 - 02/ http://www.zenjydar.co.uk/weekly_news/oct27to2nov.htm 15 Rules to Live By. The Second Most Important: Laugh at Yourself...