Vituko Duniani

Vituko duniaani vinakupa nafasi ya kuburudika, kucheka na kuelimika kupitia vituko

Mtoto wa miezi tosa (9) mafichoni kule LAHORE Pakistan kwa sababu ana kesi ya kujibu. Mtoto huyo pichani ambaye hata hawezi kunyanyua chupa yake ya maziwa anadaiwa kushiriki kwenye jaribio la mauaji.Baby huyo anayeitwa Musa Khan sasa yuko mafichoni...
"Kichekesho cha msichana wa kazi za nyumbani na mama mwenye nyumba juu ya vijiti vya kusafishia meno.jamani nyie watoto wa nyumba hii, vijiti vya meno nimeleta juzi tu leo vyote vimeisha, mnazipeleka wapi?"Ndipo housegirl akadakia na kusema "Mama mimi...
Kwa wale mnaotumia sana usafiri wa umma au daladala utakuwa umekumbana na mojawapo ya ya vituko vya makonda na abiria wa daladala kama ifuatavyoMlokole; konda weka nyimbo za Yesu Konda; Yesu bado...
Huu ni ujumbe wa vichekesho wa Chris Rock kwa wapiga kura weupe wakati wa kampeni za Urais wa Marekani. Burudika mwenyeweChris Rock - Black People VS. Niggaz (Bring the Pain 1996) From "Bring the Pain". Comedy Central: Chris Rock on Rap...
Mwanamke mmoja akiendesha baiskeli alikoswakoswa kugongwa na treni akivuka reli kimakosa. Mwanamke huyo alishika breki kwa kasi zaidi ya treni na kufanikiwa kurudi nyuma muda mfupi baada ya treni iliyokuwa ikienda kwa kasi kupita. Mwanamke huyo alichanganyikiwa sana kiasi cha kutulia kuwaza na baadaye kuamua kurudi alikotoka hata baada ya kuruhusiwa kuendelea na safari yake.
Je wajua hii misemo ya wabunge bungeni?Wabunge wa bunge la Tanzania kwa nyakati tofauti ndani na nje ya bunge wamekuwa wakitoa misemo mbalimbali na ya ajabu yenye kujenga, kubomoa na kuchekesha kila mtu aliyesikia, ona kwa macho au kupitia...
Binadamu wa kihindi ambaye ndie baba mzee mkongwe kuliko wote duniani  kawa baba kwa mara ya pili akiwa na umri wa miaka 96.Raghav Ramjit ilitunukiwa kuwa baba mzee mkongwe kupita wote dunbiani  miaka miwili iliyopita wakati yeye alikuwa amemzaa...
Mojawapo ya vichekesho vingi vya kimasai, hiki kilinivunja mbavuKulikuwa na basi moja la abiria likitokea Dar es salaam kwenda morogoro, baada ya kupita Chalinze kama kilomita 50 hivi, utingo wa basi alimuona abiria wa kimasai akisimamisha basi. Hapo utingo...
Annie Jones ambaye ni mzaliwa wa Virginia, Marekani ndie mwanamke mwenye ndevu nyingi kuliko wote duniani? Alizaliwa tarehe 14, 1865  akiwa amefunikwa na wingu la nywele mpaka wazazi wake wakamwita “ESAU”.Chanzo: http://f-r-e-a-k-s.tumblr.com/Wanawake wenginbe wenye ndefu nyingi ni:...
Mwanamuziki Lady Gaga wa Marekani bila kuogopa umati mkubwa kwamba utamuumiza au kumchafua akijimwaga waziwazi akiwa amejivalia nguo zake za chekecheke na zenye kuonyesha waziwazi uchi wake.Wanamuziki wa Marekani ni kawaida yao kuimba huku wakiwa nusu uchi au uchi...
"Mheshimiwa Spika, kabla sijaingia kuchangia bajeti hii, nataka niseme kuwa naona upinzani wamefikia pabaya sana, wanaikashifu serikali sikivu ya CCM.Chama kimefanya mengi sana,maendeleo makubwa tumepata,shule za msingi, sekondari na vyuo viko vingi sana tofauti na zamani,barabara za lami, umeme...
Mwanamke aliingia kwnye teksi akitaka huduma akiwa uchi kama alivyozaliwa!Dereva akawa anamshangaa,Mwanamke: hujawahi kuona uchi au!Dereva: Ninachoshangaa si uchi wako,najiuliza pesa ya kunilipa utakuwa umeiweka wapi?
Hebu fuatilia kichekesho hiki na angalia usivunjike mbavuKuna Mchaga mmoja kanasa kwenye kisima asubuhi na mapema akiwahi kibaruani. Kisima hicho kilitelekezwa na jirani yakeBaada ya maangaiko makubwa ya kumtoa, mmojawapo wa watoto wake alikuja na kamba na kumtupia ili...
Kuna mambo mawili ukizaliwa na kuishi yatakuhusuNi ama wewe utazaliwa mwanaumeAu wewe utazaliwa  mwanamkeKama wewe utazaliwa mwanamke uko salama, Lakini kama wewe utazaliwa mwanaume kuna mambo mawili yatakuhusuAidha...
Je unajua vichekesho kanisani? ulishasikia mojawapo, hebu fuatilia hii hapa.Kulikuwa na familia moja ya wacha Mungu vizuri tu pale Dar es salaam. Walikuwa wakisali kanisa moja la kilokole.  Mwanaume alikuwa na tabia ya kulala usingizi kila akiingia ibadani. Siku...
Jamaa alikuwa ana tabia ya kukojoa kitandani baadhi ya siku. Akafikia kuoa. Katika ya siku za mwanzo baada ya harusi, siku moja kama kawaida yake alijikojolea. Akapiga kelele "Mungu wangu eee". Mke wake akashtuka, akamuuliza: Vipi mume wangu? Mume: Hivi mke wangu ungeota...
Hapa duniani vituko haviachi kwisha, jamaa mmoja alitoa kichekesho cha mwaka katika moja ya uzamiaji wake wa kwenye misiba kutoka Arusha, siku moja katika pitapita yake aliingia mtaa mmoja na katika kutembea kidogo akakutana na nyumba yenye msiba.Jamaa kama...
Hadithi ya kweli Tarehe 18 Novemba 2016Binti wa miaka 14 aliyefariki mwezi uliopita kule Uingereza kwa sababu ya saratani ashinda kesi.Akijua kuwa atakufa binti huyo mwenye matumaini makubwa ya kuishi alijikuta akihifadhiwa kwenye jokofu ili dawa siku moja ikipatikana arudi...