Mbuni anayepatikana Africa na hasa Afrika Mashariki ndiye ndege mrefu na mkubwa kuliko wote duniani na anakadiriwa kufikia urefu wa futi 9 na uzito wa kilo 156Jina la kisayansi: Struthio camelus Kasi: 43 Mita kwa saa (kasi ya...
Kiumbe Anayeishi Muda Mfupi Kuliko Wote Duniani anaitwa Nzi (Adult mayfly) ambaye anaishi siku 1 mpaka 3 tu181
Je Wajua Kiumbe anayekimbia kwa kasi kuliko wote duniani? Peregrine Falcon (jamii ya tai) ameripotiwa kukimbia zaidi ya maili 200 kwa saa wakati anashuka.Kwa maelezo zaidi bonyeza hapa... Je Wajua Kiumbe mrefu kuliko wote duniani? Twiga ni kiumbe mrefu kuliko wote duniani...
Twiga ni kiumbe mrefu kuliko wote duniani na anapatikana Afrika. Ndiye mnyama mkubwa anayekula majani. Twiga anakadiriwa kuwa anaweza kukua hadi futi 19Ananyonyesha kwa miezi 13 – 15 monthsAnakimbia kilomita 37 kwa saaDume ana urefu wa futi 16 –...
Tembo wa Afrika ndiye mnyama wa nchi kavu mkubwa kuliko wote duniani. Tembo wanapatikana kwa wingi katika mbuga za wanyama za Tarangire, Ngorongoro, Serengeti, Ruaha, Mikumi, nk. nchini Tanzania
Kiumbe anayekimbia kuliko wote duniani ni peregrine falcon (jamii ya tai) anayepatikana Amerika ya Kaskazini ndiye aliyeripotiwa kukimbia zaidi kuliko viumbe wengine wote Duniani.  Peregrine anauwezo wa kukimbia kilomita 240 kwa saa wakati anashuka.Ana urefu wa mbawa inayofikia futi...
Nyangumi wa bluu ndie kiumbe mkubwa kuliko wote duniani.Urefu mpaka futi 110 uzito wa tani 209 Anaishi miaka 80 hadi 90 Ananyonyesha kwa miezi 11  447
Mnyama Mwenye Mdomo Mkubwa Kuliko Wote Duniani ni Kiboko. Kiboko ndiye mpaka sasa hivi anayeongoza duniani kwa kuwa na mdomo mkubwa. Pia anaongozo kwa kupanua mdomo anapopiga miayo. Mdomo wake unaweza kupanuka mpaka digrii 170 ambayo ni sawa na mstari ulionyooka ukipungua kwa digrii kumi (10) tu.
Duma anayepatikana Afrika ndiye kiumbe wa nchi kavu anayekimbia kuliko wote dunianiDuma anaweza kukimbia mpaka kilomita 113 kwa saa na anaweza kuongeza mwendo kasi kutoka kilomita 0 mpaka 70 kwa saa kwa sekunde 2
Chatu wa mashariki mwa asia na india ndiye nyoka wa kwanza kwa urefu na wa pili kwa uzito kuliko wote duniani na ameripotiwa kufukia urefu wa futi 32 na uzito wa kilo 158.  Anakonda anayepatika kusini mwa bara la Amerika...
Je Wajua Kiumbe anayekimbia kwa kasi kuliko wote duniani?Peregrine Falcon (jamii ya tai) ameripotiwa kukimbia zaidi ya maili 200 kwa saa wakati anashuka. Kwa maelezo zaidi bonyeza hapa…