Je wajua chuo kikuu kubwa kuliko zote duniani?

0
1380
Indira Gadhi Open University
Indira Gadhi Open University
Indira Gadhi Open University
Indira Gadhi Open University

Chuo kikuu kikubwa kuliko zote duniani ni chuo kikuu cha Indira Gandhi National Open University, New Delhi, India yenye uwezo wa kusajili wanafunzi  2.5 m kwa mara moja.

Toa maoni yako juu ya Je wajua chuo kikuu kubwa kuliko zote duniani? kwa kutumia nafasi hapo chini ilipoandikwa ACHA MAONI

Leave a Reply