
- Harusi ya kwanza kwa ughali duniani – Vanisha Mittal, na Amit Bhatia iliyogharimu milioni 78 dola za kimarekani
|
 Harusi ya David Robert Joseph Beckham na Victoria Adams (kutoka katika kundi la Spice Girls) mwezi wa Julai 1999. ilihudhuriwa na watu zaidi ya 200 lakini walioshududia tukio ni marafiki na ndugu wa karibu wapatao 29 tu. Iliajiri wafanyakazi zaidi ya 400 |
|
Katika taarifa yetu hii tutaangalia vitu muhimu katika harusi kama vile Aina na idadi ya waalikwa, chakula, keki, gauni la bibi harusi, vifaa vya muziki na mapambo nk. Kwa matajiri mabilionea mara zote hutawaliwa na manukato ya gharama, walikwa wenye majina, watumbuizaji wa muziki maarufu na vitu kama gauni la bibi harusi la gharama, keki ya gharama nk. Mfano Harusi fulani alialikwa mwanamuziki Shakira kwa ndege binafsi ya kwenda na kurudi nje ya Marekani na kuimba njimbo tatu tu kwa kiasi cha dola za kimarekani milioni 3. Keki kutengenezwa kwa dola za kimarekani laki 300 na Gauni la harusi kwa dola za kimarekani laki 600 nk.
Hebu tuangalie Harusi kumi za kifahari zaidi duniani:
1. Harusi inayoongoza kwa gharama duniani hii hapa
- Harusi ya Vanisha Mittal, na Amit Bhatia imetajwa na gazeti la Forbes kama moja ya harusi 1000 za kitajiri zaidi duniani . Ilifanyika katika hoteli ya nyota tano ya Paris hotel na ilichukua siku tano mfululizo ikipambwa na raha zote zilizotakiwa. Huko Ufaransa. Mwanamuziki maarufu Kylie Minogue ndie alipamba hiyo sherehe iliyogharimu kiasi cha $78 millioni. Harusi zingine za kifahari na ghali hizi hapa

- Harusi ya kwanza kwa ughali duniani – Vanisha Mittal, na Amit Bhatia
| Jina la Mhusika |
Ilipofanyika |
Gharama katika dola za kimarekani |
Mwaka |
Ilisheherekewa kwa siku |
Waalikwa na watumbuizaji |
|
| Vanisha Mittal, na Amit Bhatia |
Ufaransa |
78 millioni |
June, 2004 |
5 |
|
2. Harusi ya pili kwa gharama duniani hii hapa

- harusi ya pili kwa ughali duniani -Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum kiongozi wa Dubai na malkia Salama
| Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum kiongozi wa Dubai na malkia Salama |
Dubai |
44.5 millioni |
1981 |
7 |
20,000 |
3. Harusi ya tatu kwa gharama duniani hii hapa

- Harusi ya tatu kwa ughali duniani ni ya bilionea Andrei Melnichenko wa Urusi na Aleksandra Kokotovich,
| bilionea Andrei Melnichenko wa Urusi na Aleksandra Kokotovich |
Cote D’Azur, France |
30 millioni |
2005 |
|
Christina Aguilera na Whitney Houston |
4. Harusi ya nne kwa gharama duniani hii hapa

- Harusi ya nne kwa ughali duniani – Vikram Chatwal , na Priya Sachdev
| Vikram Chatwal, na Priya Sachdev mwana mitindo na mwigizaji maarufu |
India |
20 milioni |
2006 |
10 |
600 guest from 26 countries |
5. Harusi ya tano kwa gharama duniani hii hapa (ni kati ya Rooney mshambuliaji wa Manchester United ya Uingereza na Coleen McLoughlin)

- Harusi ya tano kwa ughali duniani -Wayne Rooney & Coleen McLoughlin
| Wayne Rooney na Coleen McLoughlin |
Portofino |
15 millioni |
2008 |
4 |
64 |
VN:F [1.9.17_1161]
Rating: 0.0/5 (0 votes cast)
Je umependa huu ukurasa? Kama ni vipi, mtumie rafiki
Au hifadhi sasa,
Kuhusu huu ukurasa na kujiandikisha ili utumiwe taarifa za blogu hili
RSS feed.
Taarifa Zinazofanana: