Je wajua nchi yenye asilimia kubwa ya wapagani?

2
1112

Nchi yenye asilimia kubwa ya wapagani nchi ya Sweden, nchi hii ina asilimia 47 ya watu wasiokuwa na dini nchi nzima sawa na idadi ya wapagani milioni 6 kati ya wakazi wote wa Sweden wapatao milioni 9.3

Toa maoni yako juu ya Je wajua nchi yenye asilimia kubwa ya wapagani? kwa kutumia nafasi hapo chini ilipoandikwa ACHA MAONI

2 COMMENTS

Leave a Reply