Jinsi ya Kucheza Michezo ya Kubahatisha wa Tusua Mapene, VodaCom

4
39
Tusua Mapene ni mchezo wa kubahatisha unaochezeshwa na Vodacom Tanzania. 
Kuna zawadi za papo kwa papo za sh. milioni 20 na inatoa washindi watano kwa jumla ya milioni 100. Kuna zawadi za kuanzia shs laki 5 hadi milioni 15 kila siku. Pia kuna zawadi za shs. milioni 15 kila mwezi. Katika droo kubwa ya mwisho itatolewa shs million 150 kwa atakayeshinda.
 Inline images 1

Toa maoni yako juu ya Jinsi ya Kucheza Michezo ya Kubahatisha wa Tusua Mapene, VodaCom kwa kutumia nafasi hapo chini ilipoandikwa ACHA MAONI

4 MAONI

  1. Hivi mpaka mtu mnampa ushindi wa kiasi kadhaa cha pesa anakuwa kacheza kwa mda gan maana kuna mtu kila siku anacheza lakini anaambiwa tuu umekosa milioni 15 au 20 au 100 subiri kesho au endelea kucheza kuongeza kete kwa droo ya mwisho asa nilitaka kujua an mpaka mnamtangaza mtu kashinda labda milioni 3.5 anakuwa kacheza kwa mda gan?

Leave a Reply