Katibu Tawala Mkoa wa Katavi Afukuzwa Kazi

0
357
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni SefueAkitangaza Kurudishwa kwa Mabalozi
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue Akitangaza Kurudishwa kwa Mabalozi, Kufukuzwa kazi, kusimamishwa kazi kwa watumishi wa Serikali Wenye Utendaji Dhaifu

Rais Magufuli amemfukuza kazi Katibu Tawala mkoa wa Katavi Madeni Kipande kwa kushindwa kazi na Rais kutokuridhishwa na utendaji kazi wake.

Utenguzi huo wa KIPANDE umefanyika kabla hajathibitishwa kwenye cheo cha Katibu Tawala wa Mkoa wa Katavi kutokana na utendaji kazi usioridhisha.

Nachukua nafasi hii kuwahimiza viongozi wote katika Utumishi wa Umma, na watumishi wote wa umma, kubadilika kwa dhati kwenye utendaji wao na uadilifu wao.

Napenda kusisitiza kuwa Rais na sisi tunaomsaidia hatuoni raha kuchukua hatua dhidi ya viongozi na watumishi wengine. Tungependa kila mtu mwenyewe ajirekebishe na kutomfikisha Rais mahali ambapo inabidi amchukulie hatua. Mambo yafuatayo ni muhimu:

Kipande aliteuliwa na JK kuwa katibu tawala Mkoa wa Katavi wiki moja kabla ya Magufuli Kuapishwa

Toa maoni yako juu ya Katibu Tawala Mkoa wa Katavi Afukuzwa Kazi kwa kutumia nafasi hapo chini ilipoandikwa ACHA MAONI

Leave a Reply