Mmiliki wa kampuni mdogo kuliko wote duniani ni Suhas Gopinath wa India
Akiwa na miaka 14, miaka 10 iliyopita alianzisha Globals Inc ambayo ni kafteria ya internet huko Bengaluru, India hakujua kuwa yeye ndiye mmiliki wa kampuni mdogo kuliko wote duniani
Leo hii Globals ni kampuni kubwa ya mamilioni ya dola za kimarekani yenye ofisi zake nchini Marekani, India, Kanada,… Continue reading
Tembo wa nyikani aishie Africa ndie kiumbe wa nchi kavu mkubwa kuliko wote duniani na ameripotiwa kuwa na urefu wa futi 13 na uzito wa tani 8
Kwa maelezo zaidi bonyeza hapa… Tembo wa Afrika Mnyama wa Nchi Kavu Mkubwa Kuliko Wote Duniani
Nchi inayoongoza duniani kwa kula rushwa 2010 ni nchi ya Somalia, Africa ikifuatiwa kwa karibu na nchi za Myanmar, Afganistan na Iraq. Nchi zinazoongoza kwa kutokula rushwa ni Denmark, New Zealand na Singapore. Nchi sita za Africa kati ya nchi kumi zilizoorodheshwa kwa kula rushwa zaidi duniani 2010 ni nchi za Somalia,
Nchi… Continue reading
Nchi inayoongoza kwa kunyonga duniani ni China ambayo tu mwaka jana 2009 ilinyonga zaidi ya watu 470.
Nchin zingine hizi hapa chini
Nchi na idadi ya vifo vya kunyongwa
Orodha kamili hii hapa:
Jina Ukubwa wa eneo ktk maili za mrab 1. Ziwa Superior, Amerika ya kaskazini 82,100 sq km/31,700 sq mi 2. Ziwa Victoria, Africa 69,490 sq km/26,830 sq mi 3. Ziwa Huron, Amerika ya kaskazini 59,600 sq km/23,000 sq mi 4. Ziwa Michigan, Amerika ya kaskazini 57,800 sq km/22,300 sq mi 5. Ziwa Tanganyika, Africa 32,900 sq km/12,700 sq miChanzo chetu: Geology.com
Darubini 10 kubwa kuliko zote duniani ni hizi hapa
Jina na sehemu zilipo Urefu kutoka usawa wa bahari (m) Kipenyo cha lensi ya msingi (m) Mwaka wa kuanzishwa Jina la Darubini na Mji (kama ni Tofauti na Sehemu) 1. Mauna Kea Observatory (Hawaii, United States) 4,150 10.00 1993 Keck Telescope I 2. Mauna Kea Observatory (Hawaii, United States) 4,200 8.20… Continue reading
Matetemeko 12 makubwa zaidi duniani ni:
Nchi Tarehe ya tukio Kipimo cha richa 1. Chile 22 Mei 1960 9.5 2. Prince William Sound, Alaska 28 Machi 1964 9.2 3. Andreanof Islands, Aleutian Islands, Alaska 9 Machi 1957 9.1 4. Kamchatka Peninsula, Russia 4 Novemba 1952 9.0 5. Indian cean, near Sumatra, Indonesia 26 Desemba 2004 9.0 6. Japan, Honshu (northeast)… Continue reading
Matetemeko 10 maharibifu zaidi kutokea duniani ni haya hapa chini ambayo yameua zaidi ya watu 50,000
Nchi/Mji Tarehe Vifo Kipimo cha richa 1. China, Shaanxi Province 23 Januari 1556 830,000 ~8 2. China, Tangshan
Nchi yenye asilimia kubwa ya wakristo ni Vatican, Guatemala, Micronesia, Samoa na Panama. Zote kwa pamoja zina asilimia 100 ya wakristo katika nchi zao.
Orodha kamili ya nchi 15 zenye asilimia kubwa ya wakristo hii hapa 1. Vatican City 100% (100% Roman Catholic) 2. Guatemala ~ 100% (55% Roman Catholic and 33% Protestants) 3. Micronesia ~100% 4. Samoa ~100% 5.… Continue reading
Nchi ya Marekani ndio nchi yenye wakristo wengi duniani. Marekani ina takriban wakristo milioni 235
Orodha kamili ya nchi 20 zenye wakristo wengi duniani hii hapa: 1. United States 234,889,159 2. Brazil 169,109,476 3. China 104,505,105 4. Mexico 103,265,846 5. Russia 100,964,426 6. Philippines 84,246,490 7. Nigeria 62,068,098 8. Congo DR 59,176,360 9. Germany 56,032,677 10. Italy 55,216,284 11. Ethiopia… Continue reading
Nchi yenye wahindu wengi duniani ni India, inakadiriwa kuwa na wahindu milioni 931
Orodha kamili ya nchi 20 duniani zenye wahindu wengi hii hapa: 1. India 930,542,254 2. Nepal 25,010,450 3. Bangladesh 15,797,076 4. Indonesia 4,693,880 5. Pakistan 3,327,787 6. Sri Lanka 3,138,947 7. Malaysia 1,563,741 8. United States 1,204,560 9. United Arab Emirates 944,352 10. Mauritius 625,441 11. United… Continue reading
Dini kubwa kuliko zote duniani ni ukristo, kuna takriba wakristo bilioni 1.9 mpaka 2.1 duniani. Hii ni sawa na asilimia 29 mpaka 32 ya watu wote wa dunia (Duniani inakadiriwa kuwa na watu bilioni 6.8)
Orodha kamili ya dini nne kubwa duniani hii hapa:
Jina Idadi Asilimia Ukristo 1.9 bilioni – 2.1 bilioni 29% – 32% Uislamu 1.3 bilioni –… Continue readingNchi a Yemen, Mauritania na Somalia kwa pamoja ndizo nchi zenye asilimia kubwa ya waislamu duniani. zote kwa pamoja zina asilimia 99.9 ya waislamu katika nchi zao.
Orodha kamili ya nchi 15 zenye asilimia kubwa a waislamu katika nchi zao duniani hii hapa: 1. Yemen 99.9% (65-70% Sunni, 30-35% Shi’a) 2. Mauritania 99.9% (mostly Sunni) 3. Somalia 99.9% (mostly Sunni)… Continue reading