Tanzania yaongoza kwa hoteli 5 bora duniani

0
2433
Singita-Grumeti-Reserves Tanzania- Hoteli Bora Duniani

Singita Grumeti Reserve ya Serengeti, Tanzania ndiyo hoteli bora duniani kutokana na mtandao wa travelandleisure.com. Katika hoteli mia moja (100) bora dunianiTanzania inawakilishwa na Tano (5) katika nafasi za kwanza (1), tisa (9), kumi na tano (15), sitini na saba (67) na sitini na nane (68)

Aidha Serengeti Sopa Lodge ya Tanzania  imeshika namba 67 na andBeyong Ngorongoro Crater Lodge imeshika namba 68 kati ya 100 bora duniani na kuifanya Tanzania kushika nafasi tano katika hoteli 100 bora duniani

Hoteli hizo ni:

  1. Singita Grumeti Reserves iliyopo ndani ya hifadhi ya taifa ya Serengeti, Tanzania (1)
  2. Ngorongoro Sopa Lodge iliyopo ndani ya mamlaka ya Ngorongoro, Tanzania (5)
  3. Kirawira Luxury Tented Camp iliyopo ndani ya hifadhi ya taifa ya Serengeti, Tanzania (15)
  4. Serengeti Sopa Lodge,  iliyopo ndani ya hifadhi ya taifa ya Serengeti, Tanzania (67)
  5. andBeyond Ngorongoro Crater Lodge, iliyopo ndani ya mamlaka ya Ngorongoro, Tanzania (68)

Toa maoni yako juu ya Tanzania yaongoza kwa hoteli 5 bora duniani kwa kutumia nafasi hapo chini ilipoandikwa ACHA MAONI

Leave a Reply