Baba mzee mkongwe kuliko wote duniani

0
4243
Baba mzee mkongwe kuliko wote duniani

Baba mzee mkongwe kuliko wote dunianiBinadamu wa kihindi ambaye ndie baba mzee mkongwe kuliko wote duniani  kawa baba kwa mara ya pili akiwa na umri wa miaka 96.

Raghav Ramjit ilitunukiwa kuwa baba mzee mkongwe kupita wote dunbiani  miaka miwili iliyopita wakati yeye alikuwa amemzaa mwana wake wa  kwanza Karamjit akiwa na umri wa  miaka 94.

• Pamoja na uzee na ukongwe wake Ramjit Raghav ana uwezo wa kufanya tendo la ndoa mara tatu kwa usiku mmoja
• Mwanawe wa kwanza, Karamjit, alizaliwa miaka miwili iliyopita katika mji wa Haryana, kaskazini mwa India

Chanzo: The Mirror

Toa maoni yako juu ya Baba mzee mkongwe kuliko wote duniani kwa kutumia nafasi hapo chini ilipoandikwa ACHA MAONI

Leave a Reply