BREAKING NEWS: RAIS MAGUFULI KUMTUMBUA PROF. SOSPETER MUHONGO?

0
32


?Rais John Pombe Magufuli amemtaka Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo kujitathmini kama anastahili kuendelea katika nafasi yake ya uwaziri baada ya kushindwa kusimamia suala la mchanga wa dhahabu unaosafirishwa kwenye makontena kwenda China kupimwa.

Hii imekuja baada ya ripoti ya Prof Abdulkarim Mruma kuonyesha uongo ulikuwepo katika makontena yaliyokuwa yasafirishwe kwenda China kuchenguliwa

"Ninampenda sana Profesa Muhongo, tena ni rafiki yangu, lakini katika hili ajiassess, ajifikirie, aachie ngazi" – Rais Joseph Pombe Magufuli ametamka dakika chache zilizopita.

Toa maoni yako juu ya BREAKING NEWS: RAIS MAGUFULI KUMTUMBUA PROF. SOSPETER MUHONGO? kwa kutumia nafasi hapo chini ilipoandikwa ACHA MAONI

Leave a Reply