Hadithi ya kweli Tarehe 18 Novemba 2016Binti wa miaka 14 aliyefariki mwezi uliopita kule Uingereza kwa sababu ya saratani ashinda kesi.Akijua kuwa atakufa binti huyo mwenye matumaini makubwa ya kuishi alijikuta akihifadhiwa kwenye jokofu ili dawa siku moja ikipatikana arudi...
Zitto Kabwe.Nataka ujue kwamba kati ya watu 10 wajinga au wapumbavu, utakuwa mmoja wao. Nakushangaa kila siku unajigamba una akili. Akili gani uliyonayo wakati unanunuliwa na watu wapumbavu kama Mwigulu Nchemba.Unashirikiana na TISS pamoja na makada wakubwa wa CCM,...
Mnyonge mnyongeni lakini asinyongwe peke yake Kama taarifa hizi za gazeti la uwazi ni za kweli basi huyu denti feki ni tapeli la mwaka ambaye inasadikiwa anamiliki majina kama manne ikianza na la Felister halafu Halima hamad, Halima Hamadi, Leila na Laylat Kama Kapuya katembea naye basi kaingizwa mjini na kingi hii ni kubwa sana
MBUNGE wa Urambo Magharibi, Profesa Juma Kapuya (CCM), ameingia katika matata. Katika kujaribu kudhibiti mtoto wa shule ambaye anadai alibakwa naye na kuambukiwa virusi vya ukimwi, mbunge huyo ametoa vitisho vya kuua mtoto huyo na kujiua kama njia ya...
Kamanda wa polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam Kamanda Suleiman Kova amezungumza na waandishi wa habari kuhusu tukio hilo la utekaji nyara na kujeruhi lililompata kiongozi mgomo wa Madaktari Steven Ulimboka anayedaiwa kutekwa na watu watano wakati akipata...
Wakati hayo yakitokea inadaiwa kuwa Askari Kanzu mmoja alikumbana na kipigo kikali kutoka kwa madaktari hapo Muhimbili kwa kile kilochodaiwa kutambuliwa na Dkt Ulimboka kuwa mmoja wa watu walio mjeruhi.Pia inadaiwa kuwa Askari huyo aliingia chooni na kufanya mawasiliano...
Akisimulia mkasa huo mmoja wa madaktari wenzie aliyefahamika kwa jina moja la Dkt Deo, alisema kuwa alipigiwa simu na mtu hasiyemfahamu na kumfahamisha tukio hilo.Alisema alipofika katika kituo cha Polisi cha Bunju, alimkuta akiwa katika hali mbaya na ilikuwa...
Akisumulia tukio hilo Dkt Ulimboka alisema kuwa  jana usiku alipigiwa simu na mtu aliyejitambulusha kwake kuwa anaitwa Hemed, aliyemwambia kuwa anahitaji kuongea naye, na ndipo walipopanga kuonana katika eneo la Leaders Kinondoni.Dk Ulimboka aliyekuwa akiongea kwa tabu, aliendelea kusimulia...
Mweneyikiti wa Chama cha Madaktari nchini Dk Stephen Ulimboka, amepigwa na kujeruhiwa vibaya na watu wasiojulikana  Dkt Ulimboka anadaiwa kuvunjwa mbavu, miguu yote miwili, kung’olewa meno yote ya mbele na kuumizwa vibaya katika sehemu mbalimbali za mwili wake.Tukio hilo...
 Msichana anayekula sana na anayetarajiwa kuwa mnene kuliko wote duniani, Sussane anatarajia kuolewa na mpishi. "Tutafanya wawili wanaoendana, ninapenda kula na yeye anapenda kupika. Atanisaidia kufikia malengo kwa kunilisha" Hayo aliyasema Sussane ambaye picha yake ipo hapo kulia akilishwa...
Siri ya waraka wa Dk. Harrison Mwakyembe yafichuka; Kisa ni kifo cha ghafla cha mhudumu ofisini kwakeWARAKA wa siri ulioandikwa na Naibu Waziri wa Ujenzi, Dk. Harrison Mwakyembe, umezidi kuibua mambo mapya. Waraka huo ulioripotiwa mara ya kwanza wiki iliyopita na gazeti hili na kueleza mbinu,...
Taarifa hapa chini imetolewa na chama cha madaktari Tanzania (MAT) na inaonyesha kuwa kuna uwezekano mkubwa wa mgomo kuanza tena baada ya tarehe 7 Machi 2012. Kwa undani zaidi endelea kusoma taarifa yenyewe:05/03/2012 MSIMAMO JUU YA UTEKELEZAJI WA MADAI YA...
Yafuatayo ni baadhi ya vitendo vya Ufisadi vya Mama huyu ambaye kwa wengine wanamuona kama mchapa kazi hodari asiyekuwa na doa na anaezuia mianya ya wizi:-Amekuwa akilipwa mshahara wa ziada na Mradi wa Taifa wa Kudhibiti Ukimwi (NACP) wakati...