Mwanamke mmoja akiendesha baiskeli alikoswakoswa kugongwa na treni akivuka reli kimakosa. Mwanamke huyo alishika breki kwa kasi zaidi ya treni na kufanikiwa kurudi nyuma muda mfupi baada ya treni iliyokuwa ikienda kwa kasi kupita. Mwanamke huyo alichanganyikiwa sana kiasi cha kutulia kuwaza na baadaye kuamua kurudi alikotoka hata baada ya kuruhusiwa kuendelea na safari yake.
[youtube https://www.youtube.com/watch?v=C_fEIVwjrew]Bingwa wa dunia kwa upande wa ngumi uzito wa juu kwa takriban miongo mitatu Muhammad Ali Afariki dunia akiwa na umri wa miaka 74.Muhammad Ali (Jina lake la awali kabla hajabadili dini ni Cassius Marcellus Clay, Jr.) alizaliwa...
BREAKING NEWZ. Rais Uhuru Kenyata amemtimua baloz wa Africa kusini pamoja na raia wa south africa waliopo Kenya. pia rais wa Msumbiji amewafukuza raia wa south afrika wanaofanya kazi ktk migodi nchini Msumbiji. Malawi na Zambia zimefunga balozi zake...
Kuhusu kumshtaki PM ni kweli draft petition chini ya BRADEA iko tayari kwa kwenda mahakamani by alhamis Mungu akipenda. Tutaitisha press conference.Hata hivyo tunapambana na kisiki kimoja cha kisheria nacho ni ibara ya 100(1) ijapokuwa ibara ya 100(2) inatupatia...
Ifuatayo ni Tamko la Mh Godbless Lema Juu ya Kulipuliwa kwa bomu Kwa Kanisa la Katoliki Mfanyakazi Olasiti jijini ArushaSerikali huwezi kutibu Malaria kwa kumpa Mgonjwa Panadol” - G. LemaNimefuatilia leo asubuhi juu ya maneno niliyotamka Olasiti Kanisani baada...
Taarifa za hivi punde zinaeleza kuwa kumetokea mlipuko mkubwa unaosadikiwa kuwa kusababishwa na bomu la kurushwa wakati ibada ilipokuwa ikiendelea katika kanisa jipya la parokia ya Olasiti, jijini Arusha na kuua watu wanne na majeruhi kadhaa.Kanisa hilo lilikuwa linazinduliwa...
Taarifa za abiria walikuwa kwenye basi la Mtei inasema kuwa basi hilo lililopata ajali na kuua watoto wawili wa familia moja baada ya basi hilo kumgonga mwendesha bodaboda ambaye aliwabeba watoto hao.Taarifa zinaendelea kutabainisha kuwa mwendesha bodaboda huyo aliingia...
Ndege kubwa ya shirika la ndege la Ethiopia Airlines ikiwa na abiria zaidi ya 200 imetua kwenye majani wakati ikijaribu kutua kwa dharura katika uwanja mdogo wa ndege wa Arusha Airport, mkoani Arusha.  Ndege hiyo imetua katika uwanja huo...
Toka jana jioni wakazi wa jiji la Arusha wameendelea kuwa katika taharuki na minong’ono hapa na pale kutokana na tukio la kupigwa risasi binti mmoja aitwaye Violeth Mathias katika ofisi za TRA Arusha. Mwanadada huyu aliyeonesha jeuri ambayo haikutegemea...
IGP Mwema, RPC Andengenye watiwa hatiani na Josephat IsangoHATIMAYE ripoti ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, kuhusu vitendo vya uvunjaji wa haki za binadamu na mauaji yaliyotokea Arusha Januari 5, 2011 kwenye maandamano ya CHADEMA imevuja.Licha ya...
Ikiwa ni takribani mwezi mmoja tu tangu bomu lilipolipuka kwenye mkutano wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), mkoani Arusha, jana tukio kama hilo lilitokea jijini Dar es Salaam kwenye mkutano wa Mbunge wa Ubungo (Chadema), John Mnyika, ambao...
Aibu kubwa, CCM na Mtikila - Page 3 - JamiiForums http://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/473628-aibu-kubwa-ccm-na-mtikila-3.html Jana na juzi tumepokea katika mitandao na barua pepe mbalimbali Tamko la Chama cha DP kuhusu bomu la Arusha, licha ya kulisoma tamko ...TAMKO LA CHAMA CHA DP KUHUSU BOMU LA...
Exclusive video; video nzima ya mkutano wa chadema ulioshambuliwa kwa bomu la kutupa kwa mkono, risasi pamoja na mabomu ya machozi. Muda ni 01:31:18. Tunaomba radhi kwa picha za kutisha na matukio ambayo si mazuri yatakayo onekana. • baada ya...
Wana Jf,Imethibitika kwamba technology ya mawasiliano hivi sasa imekua kwa kasi ya ajabu sana, kiasi chakufikia kuwa kumbe siyo lazima tutegemee camera za waandishi wa habari kuchukua matukio.Ni kwamba chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kwenye mkutano wake wa...
 Mmoja wao ni kiongozi mwenye asili ya kisomali, aliyekuwa msimamizi wa moja ya vituo vya kupigia kura. Kabainisha kuwa kama msimamizi mkuu na wakala wa chama chake kwenye zoezi la kupiga kura za udiwani, aliye apishwa na tume wajibu wake...
Mh John Mnyika akiwa Mahakamani kuwasubiri wabunge wenzake aliongea na vyombo vya habari na kutoa tamko hasa kuhusiana na usalama wa wagonjwa waliolazwa katika hospitali mbalimbali Arusha na mazishi ya kiongozi wa chama Judith MushiAkiongea na waandishi wa habari,...
MWENYEKITI wa CHADEMA Freeman Mbowe, amevituhumu vyombo vya dola kuwa vinawafahamu watu walioshiriki kwenye mlipuko wa bomu uliotokea juzi katika viwanja vya Soweto kwenye mkutano wa chama hicho. Mbowe, alisema tukio hilo ni la kupangwa na wamegundua risasi za bunduki aina...
Bomu la kurushwa lililokuwa kwenye mfuko wa plastiki limelipuka katika mkutano wa CHADEMA katika viwanja vya Soweto, Kaloleni Arusha na kuua watu wawili akiwemo mtoto. Idadi ya waliofariki mpaka sasa ni Katibu wa Baraza la Wanawake (Bawacha) wa Chadema,...
Mweneyikiti wa Chama cha Madaktari nchini Dk Stephen Ulimboka, amepigwa na kujeruhiwa vibaya na watu wasiojulikana  Dkt Ulimboka anadaiwa kuvunjwa mbavu, miguu yote miwili, kung’olewa meno yote ya mbele na kuumizwa vibaya katika sehemu mbalimbali za mwili wake.Tukio hilo...