"Mheshimiwa Spika, kabla sijaingia kuchangia bajeti hii, nataka niseme kuwa naona upinzani wamefikia pabaya sana, wanaikashifu serikali sikivu ya CCM.Chama kimefanya mengi sana,maendeleo makubwa tumepata,shule za msingi, sekondari na vyuo viko vingi sana tofauti na zamani,barabara za lami, umeme...
Je wajua hii misemo ya wabunge bungeni?Wabunge wa bunge la Tanzania kwa nyakati tofauti ndani na nje ya bunge wamekuwa wakitoa misemo mbalimbali na ya ajabu yenye kujenga, kubomoa na kuchekesha kila mtu aliyesikia, ona kwa macho au kupitia...
MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, imefuta kesi ya madai ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa Ubungo.Kesi hiyo ilifunguliwa na aliyekuwa mgombea wa jimbo hilo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Didas Masaburi dhidi ya mbunge...
Hotuba Niliyotaka Kuitoa Bungeni JanaMheshimiwa Spika, nilijiunga na Bunge lako tukufu mwaka 2005 nikiwa kijana mdogo mwenye malengo ya kupaza sauti ya vijana kwenye masuala yanayohusu nchi yetu na pia kutetea maslahi ya wananchi wa Jimbo la Kigoma Kaskazini na...
Kuhusu kumshtaki PM ni kweli draft petition chini ya BRADEA iko tayari kwa kwenda mahakamani by alhamis Mungu akipenda. Tutaitisha press conference.Hata hivyo tunapambana na kisiki kimoja cha kisheria nacho ni ibara ya 100(1) ijapokuwa ibara ya 100(2) inatupatia...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARITAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU UTEUZI WA WAJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBAUTANGULIZI 1. Uteuzi wa Wajumbe wa Bunge la Katiba Unatawaliwa na Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Sura, 83 (The Constitutional Review Act, Cap 83)....
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARILeo, Jumatatu, Oktoba 7, 2013, zimetungwa habari, zikaingizwa kwenye Mitandao ya Kijamii na kusambazwa sana zikidai kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametia saini Muswada wa Sheria ya Marekebisho...
Hatimaye Serikali imeonyesha kwa wananchi HATI YA MUUNGANO. Katika taarifa yake Katibu Mkuu Kiongozi Ombeni Sefue na waandishi wa habari jioni hii mjini Dar es salaam ameonyesha hati ya muungano iliyosainiwa na waasisi wa muungano huo hayati Mwalimu Julius Nyerere na Abeid Karume.
Baada ya kugoma na kuamua kutoka nje ya bunge la katiba Dodoma kikundi cha umoja wa katiba ya Wananchi (UKAWA) kimekutana na waandishi wa habari April 17 2014 na kuyazungumza haya yanayofata hapa chini.
MAONI YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI, WIZARA YA KATIBA NA SHERIA, MHESHIMIWA TUNDU A.M. LISSU (MB.) KUHUSU MPANGO NA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA YA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA KWA MWAKA 2013/2014 (Kanuni ya 99(9) ya...
Mh. Mbunge wa Kigoma kaskazini, waziri kivuli wa fedha na mwenyeketi wa kamati ya bunge ya uwekezaji wa umma Zuberi Zitto Kabwe anakusudia kupeleka muswaada binafsi wa kufuta sheria kandamizi ya magazeti ya 1976.Sheria ya Magazeti (The Newspaper Act...
Lukuvi: Tukipitisha serikali tatu jeshi litatawala nchiWaziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera Uratibu na Bunge, William Lukuvi ameanza kampeni Makanisani kuwataka wananchi kupinga serikali tatu zilizopendekezwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba, vinginevyo nchi itatawaliwa na jeshi...
MAONI YA WAJUMBE WALIO WA WACHACHE KATIKA KAMATI NAMBA NNE KUHUSU SURA YA KWANZA NA SURA YA SITA YA RASIMU YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA   UTANGULIZI Mheshimiwa Mwenyekiti,   Sura ya Kwanza na Sura ya Sita ya Rasimu ya...
TAARIFA YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA MAZINGIRA KUHUSU TATHMINI YA ATHARI ZILIZOTOKANA NA OPARESHENI TOKOMEZA UJANGILI1.0 UTANGULIZIMheshimiwa Spika, wakati Bunge likijadili hoja ya kuahirisha shughuli za Bunge ili kujadili jambo muhimu la dharura kwa...
Kufuatia sakata la operesheni tokomeza ujangili ulioanzishwa na kutekelezwa na watumishi wa serikali kwa kuwaacha walengwa ambao walikuwa ni maharamia wa meno ya Tembo na wawindaji wengine haramu. Imeripotiwa kuwa wanawake walibakwa na wengine kuuawa au kupotea, watu wazima...
Serikali iweke nguvu katika vipengele vichache na vya msingi kama ajira, afya, elimu na miundombinuAliwapongeza mawaziri John Magufuli kwa kuimarisha barabara na Dk. Harrison Mwakyembe kwa kubuni mbinu za kupunguza foleni jijini Dar es Salaam, alizosema zinachangia kuharibu uchumi...
Zitto katika Facebook wall yake leo.Kuchukua au kutochukua posho za vikao kama mbunge ni suala la misingi (principles) na sio suala la uwezo kifedha. Kuna wabunge matajiri sana lakini wakachukua posho na wengine wa kawaida kabisa hatuchukui posho.Sio posho...
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Imezua mashaka ya vyama hivyo kuhojiwa kwani pamoja na Zitto kutoa taarifa kuwa atakuwa nje ya nchi kikazi, makamu wake, Deo Filikunjombe, naye amedai yuko jimboni na hajui kinachoendelea kuhusu vyama hivyo.
Mbunge wa Mbeya Mjini, Mh. Joseph Mbilinyi ameburuzwa tena kortini kwa kuleta vurugu na kumjeruhi jicho askari wa bunge, Koplo Nikwisa Nkisu. Dodoma mwezi huu. Hata hivyo kuna utata mkubwa juu ya wabunge wanaoshtakiwa kuwa ni wale wa upinzania...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI kutoka ofisi ya kamanda wa plisi mkoa wa Arusha KUHUSU TUHUMA ZILIZOTOLEWA NA MBUNGE WA ARUSHA MH.GODBLES LEMA KUTUHUMUWA UJUMBE WA VITISHO NA MKUU WA MKOA WA ARUSHA MH.MAGESA MULONGONDUGU WANA HABARI mtakumbuka kwamba katika kipindi...