Elimu na mafunzo

Education & training

Watoto wa mafisadi hawasomi shule za kijiji, kata na tarafa, ndugu zao wengi wamepatiwa ulaji kwenye nafasi nyeti serikali na nje. Accounti zao nyingi ziko Uswiss na kwingineko.  Wengine wameshasomesha watoto wao. Wao mgomo wa waalimu unawahusu nini? watapata...
Zaidi ya 30,000 Waliofeli kwa divisheni 0 sasa wapeta kwa kupata daraja la 4Wanafunzi 30,063 waliokuwa wamepata daraja la 0 sasa ni daraja la nne, ufaulu wapanda toka asilimia 34 hadi 43 240,909 Idadi ya waliopata sifuri yaliyotangazwa awali February...
DK BENSON BANA Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk. Benson Bana, yeye alisema haamini kama alichosema Waziri Ndalichako ni tamko na uamuzi wa Serikali, kwani suala hilo haliko kwenye sera ya elimu na kuonya kuwa alifute haraka...
SERIKALI imeamua kubadilisha mfumo wa mihula ya ufanyaji mitihani kwa shule za sekondari nchini, ambapo kuanzia mwakani wanafunzi wa kidato cha nne watafanya mitihani yao ya Taifa Novemba na wa kidato cha sita Mei.Pia Serikali imesema pamoja na mwaka...
Vyuo Vikuu 25 Ghali Kuliko Zote Duniani ni Hizi Hapa:1. Sarah Lawrence College | $53,166 2. George Washington University | $50,312 3. New York University | $50,1824. Georgetown University | $49,689 5. Connecticut College | $49,385 6. Bates College | $49,350 7. Johns...
BARAZA LA MITIHANI LA TAIFA NECTA LEO limetangaza matokeo ya kidato cha sita (6) (ACSEE 2013 EXAMINATION RESULTS INQUIRIES). Kwa kuangalia matokeo yako au ya mtoto au rafiki au mtu wako wa karibu tafadhali bofya kiunganishi cha shulke husika...
Kuna technical weaknesses hapa kwenye mpango huu wa kuwasafirisha waalimu wa Dar bure, Lengo ni zuri lakini utekelezaji wake ni aibu tupu.Udhaifu ulio katika mpango huuKwanza wadau wa msingi kwenye usafiri wa dalala Dar ambao ni makonda na madereva...
BARAZA LA MITIHANI LA TAIFA NECTA LEO limetangaza matokeo ya kidato cha sita (6) (ACSEE 2013 EXAMINATION RESULTS INQUIRIES). Kwa kuangalia matokeo yako au ya mtoto au rafiki au mtu wako wa karibu tafadhali bofya kiunganishi cha shulke husika...
Hadithi inayokuja, ni ya Sungura sikia, Hadithi uliyongoja, leo ninakuletea, Alitoka siku moja, njaa aliposikia, Njaa aliposikia, Sungura nakuambia Siku ile akaenda, Porini kutembelea, Akayaona matunda, mtini yameenea, Sungura akayapenda, mtini akasogea, Mtini akasogea, Sungura nakuambia. Sungura karukaruka, lakini hakufikia, Matunda hakuyashika, mikononi hakutia, Hakika alisumbuka, nguvuze zikapungua, Nguvuze zikapungua...
Chuo kikuu cha Al-Karaouine kutoka Morocco, Africa ndicho chuo kikongwe kuliko zote duniani. Kimeanzishwa mwaka 859 na mpaka leo inatoa cheti cha digrii.Chanzo chetu  Guinness Book of World Records.
SERIKALI kupitia wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi imevifuta vyuo 10 ambavyo havina sifa ikiwamo usajili wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) na kufundisha kwa kuwatumia walimu wasio na sifa. Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philip Mulugo, alitangaza hatua hiyo wakati alipokutana na Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii, katika ofisi ndogo za Bunge jijini Dar es Salaam.
Chuo kikuu kikubwa kuliko zote duniani ni chuo kikuu cha Indira Gandhi National Open University, New Delhi, India yenye uwezo wa kusajili wanafunzi  2.5 m kwa mara moja.
UPANGAJI WA VIWANGO VYA ALAMA, MATUMIZI YA ALAMA ENDELEVU YA MWANAFUNZI NA UFAULUUTANGULIZIWizara imekusanya maoni ya Wadau wa Elimu kuhusu Upangaji wa Viwango vya Alama (Grade Ranges) katika Mitihani ya Kuhitimu Kidato cha Nne na cha Sita pamoja na...
Mulugo: Division Five haipo na sifuri ipo palepale- Atofautiana na Prof. Mchome!
Yafuatayo ni majina ya wanafunzi waliochaguliwa kupata mkopo kwa mwaka wa masomo wa 2012/2013. Majina mengine hayakupatikana kwa muda muafaka kwa sababu ya itilafu iliyotokea katika tovuti ya heslb.go.tz Bofya kiunganishi hapa chini ili kuangalia jina lako, Majina yamepangwa kulingana...
Waalimu wa cheti sasa kusoma diploma ili waweze kufundisha shule za msingi na diploma ile ile Akitoa tamko hili Naibu waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi Mh Philipo Mulugo alisema waalimu wa cheti cha grade A walikuwa kwanza waka...
Waziri wa Elimu Dr Shukuru Kawambwa atangaza matokeo Kidato cha Nne 2012/2013 ambayo ni mabovu kuliko maelezo huku akitababsabu an kutoonyesha hata hali ya masikitiko.Nimejaribu kuchambua matokeo hayo yaliyotangazwa na nikagundua Tanzania kuna janga la kitaifa katika sekta ya...
Peter Robert Kilave, mwanafunzi wa kidato cha tatu wa Shule ya Sekondari ya Kata ya Tushikamane ya mjini Morogoro, amechukua ushindi wa kwanza kwa wanafunzi wote wa shule za sekondari wa nchi tano za Jumuiya ya Afrika Mashariki katika...
Katika maisha yangu nimejifunza yafuatayoKama huelewi, sikiliza tu Kama huelewi, soma tuNiliwahi kufaulu mtihani fulani bila kuelewa, ila nilitii hii kanuni ya pili ya kusoma tu. Nilichukua mtaala wangu nikaangalia natakiwa nisome wapi nikachukua vitabu vilivyopendekezwa kwenye mtaala nikasoma, sehemu...
Nianze na hii nukuu.... “Elimu inakuwa na maana sana kama malengo yake yalikuwa ni kuhakikisha kuwa kipindi wanafunzi wanamaliza shule, kila mvulana na msichana anapaswa kufahamu kwa kiwango gani hajui, na hivyo kuhamasika kujenga matamanio ya kutaka kufahamu muda wote...