Familia na Mahusiano

Family & marriages

Binadamu wa kihindi ambaye ndie baba mzee mkongwe kuliko wote duniani  kawa baba kwa mara ya pili akiwa na umri wa miaka 96.Raghav Ramjit ilitunukiwa kuwa baba mzee mkongwe kupita wote dunbiani  miaka miwili iliyopita wakati yeye alikuwa amemzaa...
Kulikuwa na semina ya wanawake kuhusu namna ya kuishi kwa upendo katika ndoa.Mwalimu aliwauliza ni wangapi wanawapenda waume zao? Wote wakanyoosha mikono kama ishara ya kuwa wanawapenda waume zao.Mwalimu akauliza tena, "Ni lini mara ya mwisho umemwambia mumeo "Nakupenda"?Majibu...
Nimefikia uamuzi wa kudai talaka kutokana na kuchoshwa na vitendo vya ukatili nilivyokuwa nafanyiwa na mume wangu, kwa zaidi ya miaka 8 na hata sasa bado anaendelea, Kwani hata kuongea uongo kwenye media juu yangu ni ukatili pia. nimekuwa...
Gwajima afunguka sakata la Mbasha MCHUNGAJI Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima la jijini Dar es Salaam, Josephat Gwajima, amefunguka na kuuweka hadharani uhusiano wake na familia ya waimbaji wa nyimbo za Injili nchini, Flora Mbasha na mume wake,...
"Mchungaji ...yapata kama wiki mbili zilizopita nilihoji kupitia vyombo vya habari juu ya ‘utajiri' wa ghafla wa mkewangu Mara baada ya mgogoro kutokea kati yangu na yeye, bila kupoteza muda mkewangu akanijibu kupitia gazeti moja la udaku kuwa amechangiwa...
Ndoa ya Kiongozi wa chama kikuu cha upinzania cha Zimbabwe, Ndugu Morgan Tsvangirai imevunjika na wamekuwa wakiishi mbali mbali kwa miezi sasa.Waziri mkuu huyo wa zamanai wa Zimbabwe alimpoteza mke wake Suzan kwenye ajali ya gari mwaka 2009. Alimuoa...
Ndoa ya Michelle na Barack Obama yaweza kuvunjika kwa talaka kutokana na mapito magumu ambayo ndoa hiyo ilipitia na bado inaendelea kupitia.
Siku nane baada ya talaka, alikuwa akipika nyumbani kwake, mumewe huyo alishuka katika pikipiki na kumwagia tindikali usoni na  alimwacha na upofu na majeraha yasiyopona. Mumewe huyo ambaye kwa sasa ana miaka 36BANGALADESH, India WAKATI mwingine maisha ya ndoa hugeuka kuwa...
Nchi inayoongoza kwa kuwa na taarifa za internet zinazowazalilisha watoto duniani ni MarekaniChanzo:  http://www.top5ofanything.com/index.php?h=133419b2
 Msichana anayekula sana na anayetarajiwa kuwa mnene kuliko wote duniani, Sussane anatarajia kuolewa na mpishi. "Tutafanya wawili wanaoendana, ninapenda kula na yeye anapenda kupika. Atanisaidia kufikia malengo kwa kunilisha" Hayo aliyasema Sussane ambaye picha yake ipo hapo kulia akilishwa...
Alihukumiwa kifo baadaye na muda mfupi kabla ya hukumu ya kifo kutekelezwa alimuomba kalamu na karatasi afisa wa magereza na kuandika barua ya kuagana kwenda kwa binti wa afisa wa magereza, maandishi ambayo yanaishi mpaka leo. Barua hiyo ndio inaaminika kuwa kadi ya kwanza ya valentine.
Wakati ndoa nyingi zikifungwa na kuvunjika muda mfupi baadaye duniani,sio hivyo kwa Herbert na Zelmyra Fisher wa James City N.C. Zelmyra na Herbert Fisher wameoana tangu 13 May 1924. Herbert na Zelmyra Fisher wanasema kwamba siri ya ndoa yao kukaa sana ni Mungu na Kanisa
Baba mdogo kuliko wote duniani huyu hapa na mke wakeMtoto Face Alfie, ambaye ana miaka 13 (kulia)ndie baba mdogo kuliko wote duniani. Yeye pamoja na rafiki yake wa kike Chantelle Steadman (15) (kushoto) kutoka Sussex County nchini Uingereza waliamua...
Harusi ya kwanza kwa ughali duniani - Vanisha Mittal, na Amit Bhatia iliyogharimu milioni 78 dola za kimarekaniKatika taarifa yetu hii tutaangalia vitu muhimu katika harusi kama vile Aina na idadi ya waalikwa, chakula, keki, gauni la bibi harusi,...