Harusi Yangu

Harusi yangu ni ukurasa unaokupa taarifa mbalimbali za harusi ndani na nje ya Tanzania

Ndoa ya Michelle na Barack Obama yaweza kuvunjika kwa talaka kutokana na mapito magumu ambayo ndoa hiyo ilipitia na bado inaendelea kupitia.
MBUNGE wa Viti Maalumu, Mchungaji Getrude Rwakatare (CCM) wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG), Mikocheni B, jijini Dar es Salaam, ametengwa katika Ushirikiano wa Makanisa baada ya kanisa lake kulalamikiwa kufungisha ndoa inayodaiwa kukiuka taratibu za kikanisa,...
Je wajua surprise kubwa kutokea duniani? angalia video hii The world greatest wedding supprise video that you will never want to miss https://www.youtube.com/watch?v=TCZ-VOSmblQ