Hoteli na utalii

Hotels & tourism

Zifuatazo ni hoteli 100 bora duniani. Tanzania imewakilishwa na hoteli tano ambazo ni  Singita Grumeti Reserve ya Serengeti, Tanzania ndiyo hoteli bora duniani kutokana na mtandao wa travelandleisure.com. Katika hoteli mia moja (100) bora duniani, Tanzania inawakilishwa na Tano (5) katika nafasi...
Bila kujali ubilionea wake, muuza duka moja la nguo za kifahari kule Zurich, Uswiss amemfanyia ubaguzi wa rangi Opra Winifrey alipotaka akinunua pochi moja nyeusi na ya kifahari huko Uswiss.Muuza duka hilo la Trois Pommes alimwambia huwezi kununua hii...
Singita Grumeti Reserve ya Serengeti, Tanzania ndiyo hoteli bora duniani kutokana na mtandao wa travelandleisure.com. Katika hoteli mia moja (100) bora duniani, Tanzania inawakilishwa na Tano (5) katika nafasi za kwanza (1), tisa (9), kumi na tano (15), sitini na saba (67)...
Nchi 5  Zinazoongoza Duniani kwa Kugharamia Utalii ni Hizi Hapa:Nchi Jumla ya Matumizi ktk Mabilioni za Dola za Kimarekani1. Ujerumani 71.02.  Marekani 65.63.  Uingereza 55.94.  Japani 38.05.  Ufaransa 28.6Chanzo Chetu:: World Tourism Organization. 2004