NAKUOMBA UKIPATA MDA USOME HAYA Jina langu naitwa Angelina ni Malaya niliyekubuhu kwa miaka 7 , Nilifanya umakalaya bila kujali udogo wala ukubwa wa mtu..pia nilijulikana kijamii na kimataifa zaid kwa kazi yangu. Baada ya muda niliamua kumrudia Mungu kwa...
WAISLAMU HAWATAKI MAHAKAMA YA KADHI BALI SHERIA ZAO ZITAMBULIWE KISHERIA.HII ELIMU HATA ASKOFU GWAJIMA ANGEPEWA ASINGEMTUKANA ASKOFU KARDINALI PENGONimemsikia Kikwete mwenyewe, in fact sio mahakama ya Kadhi ndio Waislamu wanataka, wamekuja na "MISLEADING TITLE OF CLAIM". Wanachotaka waislamu kutokana...
Askofu Josephat Gwajima Akiwa HospitaliniASKOFU wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima jana alizimia na kisha kukimbizwa hospitali wakati akihojiwa Kituo Kikuu cha Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.Gwajima ambaye alijisalimisha kituoni hapo saa 8:22 jana mchana...
WAJIMA AAMUA KUMTUSI KARDINALI PENGO MATUSI MAZITO.kumbe kardinali PENGO alielekezwa na Mizengo PINDA Kutoa Tamko lake.WadauKuna mambo yanatimka na kuendelea huku Maofisini kwetu, yanakera, yanachefua na si ya kizalendo hata kidogo, na kila mpenda haki na amani lazima ayapinge...
[youtube https://www.youtube.com/watch?v=-qm6eU-7dn0] Askofu JOSEPHAT GWAJIMA wa Kanisa la Ufufuo na Uzima atakiwa kufika haraka katika kituo cha Polisi cha Kati ofisi ya Mkuu wa Upelelezi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa mahojiano kuhusu tuhuma za  kumkashfu na kumtukana Askofu...
SORAGA ALIWAFANANISHA UAMSHO NA ALSHABAAB.. HUGEUZA AYA KWA MASLAHI YAKE.. YUKO TAYARI KUWARIDHISHA VIUMBE (SERIKALI)NA KUMKASIRISHA ALLAH.. HUYU NI SAWA NA ABADLLAH BIN UBAYD BINSALOON WAKATI WA MTUME.Assalamu Alaykum Warahmatullah Waba rakatu. Baada ya kumshukuru Allah nakumtakia rehma bwana Mtume saw ,nataka tuhadharishane juu...
Dini kubwa kuliko zote duniani ni ukristo, kuna takriba wakristo bilioni 1.9 mpaka 2.1 duniani. Hii ni sawa na asilimia 29 mpaka 32 ya watu wote wa dunia (Duniani inakadiriwa kuwa na watu bilioni 6.8)Orodha kamili ya dini nne...
Kanisa kubwa la kipentekoste la PAG lachomwa moto mjini Zanzibar. Kanisa hilo lipo eneo la kariakoo Zanzibar. Ikumbukwe kwamba hili ni Kanisa mama na kanisa kubwa la kilokole kuliko yote hapa Zanzibar lenye takribani watu 500-800. Tukio hili limetokea...
Nchi ya china ndiyo nchi yenye mabudha wengi zaidi duniani. Nchi hii ina takriban mabudha wapatao milioni 106.Orodha kamili ya nchi 20 zenye mabudha wengi duniani hii hapa: 1. China 105,748,151 - 1,057,481,510 2. Japan 25,486,699 - 57,336,154 3. ...
Ifuatayo ni Tamko la Mh Godbless Lema Juu ya Kulipuliwa kwa bomu Kwa Kanisa la Katoliki Mfanyakazi Olasiti jijini ArushaSerikali huwezi kutibu Malaria kwa kumpa Mgonjwa Panadol” - G. LemaNimefuatilia leo asubuhi juu ya maneno niliyotamka Olasiti Kanisani baada...
Nchi yenye asilimia kubwa ya wapagani nchi ya Sweden, nchi hii ina asilimia 47 ya watu wasiokuwa na dini nchi nzima sawa na idadi ya wapagani milioni 6 kati ya wakazi wote wa Sweden wapatao milioni 9.3
Padri afumaniwa uchi na mke wa mtu maarufu kwa jina la Mama P akiwa uchi wa mnyama.Anaitwa Fr. Urbanus Ngowi wa Jimbo la Moshi Amefumaniwa baada ya kuwepo uvumi wa siku nyingi kwamba yeye na Mama P  wana uhusiano wenye kutilia mashakaKANISA Katoliki Jimbo...
Nchi a Yemen, Mauritania na Somalia kwa pamoja ndizo nchi zenye asilimia kubwa ya waislamu duniani. zote kwa pamoja zina asilimia 99.9 ya waislamu katika nchi zao.Orodha kamili ya nchi 15 zenye asilimia kubwa a waislamu katika nchi zao...
Nchi yenye wahindu wengi duniani ni India, inakadiriwa kuwa na wahindu milioni 931Orodha kamili ya nchi 20 duniani zenye wahindu wengi hii hapa: 1. India 930,542,254 2. Nepal 25,010,450 3. Bangladesh 15,797,076 4. Indonesia 4,693,880 5. Pakistan 3,327,787 6. ...
Kuna taarifa kuwa watu watano (wakristo wanne na mwislamu mmoja) wameuawa na wengine nane kujeruhiwa kule misri katika mapigano karibu na KAiro ambayo yalisababishwa kwa wakristo wawili kuuawa nao wakaliupiza kwa kumua mwislkamu mmoja.Wakristo hata hivyo wameandamana wakidai rais...
[youtube https://www.youtube.com/watch?v=ujwfFUUAD70] MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, ameibua suala zito akikihusisha chama chake na “kumnusuru” Rais Jakaya Kikwete katika uchaguzi mkuu uliopita.Tanzania Daima limefahamishwa kuwa Profesa Lipumba alitoboa siri hiyo katika Msikiti wa Idrissa, Kariakoo, jijini Dar es Salaam,...
Nchi yenye asilimia kubwa ya wakristo ni Vatican, Guatemala, Micronesia, Samoa na Panama. Zote kwa pamoja zina asilimia 100 ya wakristo katika nchi zao.Orodha kamili ya nchi 15 zenye asilimia kubwa ya wakristo hii hapa 1. Vatican City 100%...
Rais wa Argentina Cristina Fernandes De Kirtchner amuomba papa Francis kusaidia juu ya umiliki wa visiwa vya Falklands. Kabla hajateuliwa kuwa Papa, wawili hawa walikuwa ni waasimu wakubwa hasa kwenye masuala ya ndoa za jinsia moja, Watu walioko kwenye...
Katika hotuba yake ya kwanza aliyoitoa Papa Francis wa I aliwaambia zaidi  ya wafuasi 150,000 katika uwanja wa St. Peter’s Square. Akihutubia kwa Kiitaliano tu Badala ya kutumia lugha nyingi kama wenzake walipita walivyokuwa wakifanya alisema Kanisa ni lazima libadili namna linavyopeleka...