Nchi ya Marekani ndio nchi yenye wakristo wengi duniani. Marekani ina takriban wakristo milioni 235Orodha kamili ya nchi 20 zenye wakristo wengi duniani hii hapa: 1. United States 234,889,159 2. Brazil 169,109,476 3. China 104,505,105 4. Mexico 103,265,846 5. ...
Nchi ya Indonesia ndiyo nchi inayoongoza kwa idadi kubwa ya waislamu. Nchi hii ina waislamu wapatao milioni 207. Orodha kamili ya nchi 20 zenye waislamu zaidi duniani hii hapa: 1. Indonesia 207,000,105 2. Pakistan 159,799,666 3. India 151,402,065 4. Bangladesh...
Dini kubwa kuliko zote duniani ni ukristo, kuna takriba wakristo bilioni 1.9 mpaka 2.1 duniani. Hii ni sawa na asilimia 29 mpaka 32 ya watu wote wa dunia (Duniani inakadiriwa kuwa na watu bilioni 6.8)Orodha kamili ya dini nne...
MBUNGE wa Viti Maalumu, Mchungaji Getrude Rwakatare (CCM) wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG), Mikocheni B, jijini Dar es Salaam, ametengwa katika Ushirikiano wa Makanisa baada ya kanisa lake kulalamikiwa kufungisha ndoa inayodaiwa kukiuka taratibu za kikanisa,...
Padri afumaniwa uchi na mke wa mtu maarufu kwa jina la Mama P akiwa uchi wa mnyama.Anaitwa Fr. Urbanus Ngowi wa Jimbo la Moshi Amefumaniwa baada ya kuwepo uvumi wa siku nyingi kwamba yeye na Mama P  wana uhusiano wenye kutilia mashakaKANISA Katoliki Jimbo...
Nchi yenye asilimia kubwa ya wakristo ni Vatican, Guatemala, Micronesia, Samoa na Panama. Zote kwa pamoja zina asilimia 100 ya wakristo katika nchi zao.Orodha kamili ya nchi 15 zenye asilimia kubwa ya wakristo hii hapa 1. Vatican City 100%...
Rais wa Argentina Cristina Fernandes De Kirtchner amuomba papa Francis kusaidia juu ya umiliki wa visiwa vya Falklands. Kabla hajateuliwa kuwa Papa, wawili hawa walikuwa ni waasimu wakubwa hasa kwenye masuala ya ndoa za jinsia moja, Watu walioko kwenye...
Nchi a Yemen, Mauritania na Somalia kwa pamoja ndizo nchi zenye asilimia kubwa ya waislamu duniani. zote kwa pamoja zina asilimia 99.9 ya waislamu katika nchi zao.Orodha kamili ya nchi 15 zenye asilimia kubwa a waislamu katika nchi zao...
MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, ameibua suala zito akikihusisha chama chake na “kumnusuru” Rais Jakaya Kikwete katika uchaguzi mkuu uliopita.Tanzania Daima limefahamishwa kuwa Profesa Lipumba alitoboa siri hiyo katika Msikiti wa Idrissa, Kariakoo, jijini Dar es Salaam, alikokwenda kuswali...
Nchi ya Marekani ndio nchi yenye idadi kubwa ya wayahudi duniani, inakadiriwa kuwa kuna takriban wayahudi milioni 6.2 waishio marekani pekee.Orodha kamili ya nchi zenye wayahudi wengi duniani hii hapa: 1. United States 6,214,247 2. Israel 5,278,274 3. Russia...
Nchi yenye wahindu wengi duniani ni India, inakadiriwa kuwa na wahindu milioni 931Orodha kamili ya nchi 20 duniani zenye wahindu wengi hii hapa: 1. India 930,542,254 2. Nepal 25,010,450 3. Bangladesh 15,797,076 4. Indonesia 4,693,880 5. Pakistan 3,327,787 6. ...
WAISLAMU HAWATAKI MAHAKAMA YA KADHI BALI SHERIA ZAO ZITAMBULIWE KISHERIA.HII ELIMU HATA ASKOFU GWAJIMA ANGEPEWA ASINGEMTUKANA ASKOFU KARDINALI PENGONimemsikia Kikwete mwenyewe, in fact sio mahakama ya Kadhi ndio Waislamu wanataka, wamekuja na "MISLEADING TITLE OF CLAIM". Wanachotaka waislamu kutokana...
Nchi ya china ndiyo nchi yenye mabudha wengi zaidi duniani. Nchi hii ina takriban mabudha wapatao milioni 106.Orodha kamili ya nchi 20 zenye mabudha wengi duniani hii hapa: 1. China 105,748,151 - 1,057,481,510 2. Japan 25,486,699 - 57,336,154 3. ...
Askofu Josephat Gwajima Akiwa HospitaliniASKOFU wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima jana alizimia na kisha kukimbizwa hospitali wakati akihojiwa Kituo Kikuu cha Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.Gwajima ambaye alijisalimisha kituoni hapo saa 8:22 jana mchana...
Kuna taarifa kuwa watu watano (wakristo wanne na mwislamu mmoja) wameuawa na wengine nane kujeruhiwa kule misri katika mapigano karibu na KAiro ambayo yalisababishwa kwa wakristo wawili kuuawa nao wakaliupiza kwa kumua mwislkamu mmoja.Wakristo hata hivyo wameandamana wakidai rais...
WAJIMA AAMUA KUMTUSI KARDINALI PENGO MATUSI MAZITO.kumbe kardinali PENGO alielekezwa na Mizengo PINDA Kutoa Tamko lake.WadauKuna mambo yanatimka na kuendelea huku Maofisini kwetu, yanakera, yanachefua na si ya kizalendo hata kidogo, na kila mpenda haki na amani lazima ayapinge...
 Askofu JOSEPHAT GWAJIMA wa Kanisa la Ufufuo na Uzima atakiwa kufika haraka katika kituo cha Polisi cha Kati ofisi ya Mkuu wa Upelelezi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa mahojiano kuhusu tuhuma za  kumkashfu na kumtukana Askofu Polycarp...
Taarifa za hivi punde zinaeleza kuwa kumetokea mlipuko mkubwa unaosadikiwa kuwa kusababishwa na bomu la kurushwa wakati ibada ilipokuwa ikiendelea katika kanisa jipya la parokia ya Olasiti, jijini Arusha na kuua watu wanne na majeruhi kadhaa.Kanisa hilo lilikuwa linazinduliwa...
Kanisa kubwa la kipentekoste la PAG lachomwa moto mjini Zanzibar. Kanisa hilo lipo eneo la kariakoo Zanzibar. Ikumbukwe kwamba hili ni Kanisa mama na kanisa kubwa la kilokole kuliko yote hapa Zanzibar lenye takribani watu 500-800. Tukio hili limetokea...