WAJIMA AAMUA KUMTUSI KARDINALI PENGO MATUSI MAZITO.kumbe kardinali PENGO alielekezwa na Mizengo PINDA Kutoa Tamko lake.WadauKuna mambo yanatimka na kuendelea huku Maofisini kwetu, yanakera, yanachefua na si ya kizalendo hata kidogo, na kila mpenda haki na amani lazima ayapinge...
Nchi ya Marekani ndio nchi yenye wakristo wengi duniani. Marekani ina takriban wakristo milioni 235Orodha kamili ya nchi 20 zenye wakristo wengi duniani hii hapa: 1. United States 234,889,159 2. Brazil 169,109,476 3. China 104,505,105 4. Mexico 103,265,846 5. ...
SORAGA ALIWAFANANISHA UAMSHO NA ALSHABAAB.. HUGEUZA AYA KWA MASLAHI YAKE.. YUKO TAYARI KUWARIDHISHA VIUMBE (SERIKALI)NA KUMKASIRISHA ALLAH.. HUYU NI SAWA NA ABADLLAH BIN UBAYD BINSALOON WAKATI WA MTUME.Assalamu Alaykum Warahmatullah Waba rakatu. Baada ya kumshukuru Allah nakumtakia rehma bwana Mtume saw ,nataka tuhadharishane juu...
Ifuatayo ni Tamko la Mh Godbless Lema Juu ya Kulipuliwa kwa bomu Kwa Kanisa la Katoliki Mfanyakazi Olasiti jijini ArushaSerikali huwezi kutibu Malaria kwa kumpa Mgonjwa Panadol” - G. LemaNimefuatilia leo asubuhi juu ya maneno niliyotamka Olasiti Kanisani baada...
Nchi ya china ndiyo nchi yenye mabudha wengi zaidi duniani. Nchi hii ina takriban mabudha wapatao milioni 106.Orodha kamili ya nchi 20 zenye mabudha wengi duniani hii hapa: 1. China 105,748,151 - 1,057,481,510 2. Japan 25,486,699 - 57,336,154 3. ...
Sunni ni wahafidhina kama walivyo wakatoliki katika ukristo Wao Shia ni wanamabadiliko kama walivyo waprotestanti ndani ya ukristo. Mafano, sunni hawataki kutafsiri Qurhani kwenye lugha zingine wakati wao shia wanakubali. Uanamabadiliko huu wa shia ndio uliofanya kutokea kwa madhehebu mengi...
Taarifa za hivi punde zinaeleza kuwa kumetokea mlipuko mkubwa unaosadikiwa kuwa kusababishwa na bomu la kurushwa wakati ibada ilipokuwa ikiendelea katika kanisa jipya la parokia ya Olasiti, jijini Arusha na kuua watu wanne na majeruhi kadhaa.Kanisa hilo lilikuwa linazinduliwa...
MBUNGE wa Viti Maalumu, Mchungaji Getrude Rwakatare (CCM) wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG), Mikocheni B, jijini Dar es Salaam, ametengwa katika Ushirikiano wa Makanisa baada ya kanisa lake kulalamikiwa kufungisha ndoa inayodaiwa kukiuka taratibu za kikanisa,...
  Wanawake watatu wa kizungu ambao ni wanaharakati wanaotetea haki za wanawake wameandamana uchi wa mnyama kumtetea mwenzao Amina Tyler aliyeshikwa na Polisi na kufanya kuwa maandamano ya kwanza ya aina yake katika dunia ya kiarabuWakiwa utupu na maandishi kwenye...
Ilianza kama chokochoko kidogokidogo za wale wanaojihesabia kuwa wasafi na washika dini kuliko wengine na sasa imekuwa mbaya sana.Kule Bangui, Afrika ya kati Waislamu ambao hapo juzi tu walikuwa wakiishi kama ndugu moja na Wakristo wenzao sasa kwa mamia...
Nchi yenye wahindu wengi duniani ni India, inakadiriwa kuwa na wahindu milioni 931Orodha kamili ya nchi 20 duniani zenye wahindu wengi hii hapa: 1. India 930,542,254 2. Nepal 25,010,450 3. Bangladesh 15,797,076 4. Indonesia 4,693,880 5. Pakistan 3,327,787 6. ...
Makadinali walijifungia huko katika jiji la Roma Italia hatimaye wamemchagua papa mpya anayeitwa Kadinali Jorge Mario Bergoglio kutoka Argentina. Anakuwa Papa aliyechaguliwa haraka, kwa kura nyingi na kijana kuliko wote. Pia japo ni Mtaliano kwa asili anakuwa papa wa...
Katika hotuba yake ya kwanza aliyoitoa Papa Francis wa I aliwaambia zaidi  ya wafuasi 150,000 katika uwanja wa St. Peter’s Square. Akihutubia kwa Kiitaliano tu Badala ya kutumia lugha nyingi kama wenzake walipita walivyokuwa wakifanya alisema Kanisa ni lazima libadili namna linavyopeleka...
Nchi ya Indonesia ndiyo nchi inayoongoza kwa idadi kubwa ya waislamu. Nchi hii ina waislamu wapatao milioni 207. Orodha kamili ya nchi 20 zenye waislamu zaidi duniani hii hapa: 1. Indonesia 207,000,105 2. Pakistan 159,799,666 3. India 151,402,065 4. Bangladesh...
Askofu Josephat Gwajima Akiwa HospitaliniASKOFU wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima jana alizimia na kisha kukimbizwa hospitali wakati akihojiwa Kituo Kikuu cha Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.Gwajima ambaye alijisalimisha kituoni hapo saa 8:22 jana mchana...
Rais wa Argentina Cristina Fernandes De Kirtchner amuomba papa Francis kusaidia juu ya umiliki wa visiwa vya Falklands. Kabla hajateuliwa kuwa Papa, wawili hawa walikuwa ni waasimu wakubwa hasa kwenye masuala ya ndoa za jinsia moja, Watu walioko kwenye...
Nchi yenye asilimia kubwa ya wakristo ni Vatican, Guatemala, Micronesia, Samoa na Panama. Zote kwa pamoja zina asilimia 100 ya wakristo katika nchi zao.Orodha kamili ya nchi 15 zenye asilimia kubwa ya wakristo hii hapa 1. Vatican City 100%...
Kanisa kubwa la kipentekoste la PAG lachomwa moto mjini Zanzibar. Kanisa hilo lipo eneo la kariakoo Zanzibar. Ikumbukwe kwamba hili ni Kanisa mama na kanisa kubwa la kilokole kuliko yote hapa Zanzibar lenye takribani watu 500-800. Tukio hili limetokea...
NAKUOMBA UKIPATA MDA USOME HAYA Jina langu naitwa Angelina ni Malaya niliyekubuhu kwa miaka 7 , Nilifanya umakalaya bila kujali udogo wala ukubwa wa mtu..pia nilijulikana kijamii na kimataifa zaid kwa kazi yangu. Baada ya muda niliamua kumrudia Mungu kwa...