Kura zimashahesabiwa na takriban Wamisri milioni  10 walijitokeza kuipigia kura ya ndiyo au hapana kwa katiba iliyajaa utata na yenye kupendelea msimamo wa waislamu wenye imani kali ya Undugu wa Kiislamu (Muslims Brotherhood). Katika taarifa zilizotolewa na vyombo mbalimbali...
Baada ya kugoma na kuamua kutoka nje ya bunge la katiba Dodoma kikundi cha umoja wa katiba ya Wananchi (UKAWA) kimekutana na waandishi wa habari April 17 2014 na kuyazungumza haya yanayofata hapa chini.
MAONI YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI, WIZARA YA KATIBA NA SHERIA, MHESHIMIWA TUNDU A.M. LISSU (MB.) KUHUSU MPANGO NA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA YA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA KWA MWAKA 2013/2014 (Kanuni ya 99(9) ya...
WAISLAMU HAWATAKI MAHAKAMA YA KADHI BALI SHERIA ZAO ZITAMBULIWE KISHERIA.HII ELIMU HATA ASKOFU GWAJIMA ANGEPEWA ASINGEMTUKANA ASKOFU KARDINALI PENGONimemsikia Kikwete mwenyewe, in fact sio mahakama ya Kadhi ndio Waislamu wanataka, wamekuja na "MISLEADING TITLE OF CLAIM". Wanachotaka waislamu kutokana...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA KUHUSU KUFUNGULIWA KWA KESI MBILI; KUOMBA KUTENGULIWA KWA ZUIO LA JESHI LA POLISI NA BUNGE LIVE Taarifa inatolewa kwa umma  kuwa Baraza la Wadhamini wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Katibu Mkuu...
Mahakama ya kisutu jana ilirule out kesi na kuwatia hatiani wakurugenzi wanne kati ya watano wa kampuni ya Development Entrepreneurship for Community Initiative (DECI) kwa kuwaadhibu kifungo cha miaka mitatu au faini ya jumla ya Shs milioni 21. Mmoja...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARITAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU UTEUZI WA WAJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBAUTANGULIZI 1. Uteuzi wa Wajumbe wa Bunge la Katiba Unatawaliwa na Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Sura, 83 (The Constitutional Review Act, Cap 83)....
Mh. Mbunge wa Kigoma kaskazini, waziri kivuli wa fedha na mwenyeketi wa kamati ya bunge ya uwekezaji wa umma Zuberi Zitto Kabwe anakusudia kupeleka muswaada binafsi wa kufuta sheria kandamizi ya magazeti ya 1976.Sheria ya Magazeti (The Newspaper Act...
Kuhusu kumshtaki PM ni kweli draft petition chini ya BRADEA iko tayari kwa kwenda mahakamani by alhamis Mungu akipenda. Tutaitisha press conference.Hata hivyo tunapambana na kisiki kimoja cha kisheria nacho ni ibara ya 100(1) ijapokuwa ibara ya 100(2) inatupatia...
Rais wangu  Jakaya Mrisho Kikwete,Natumaini hujambo na Mungu wetu mwema anaendelea kukujalia afya njema, furaha na amani. Hongera sana kwa ujenzi wa taifa letu.Ninakuandikia leo hii 23/09/2013 ujumbe huu wa wazi wenye  maneno  machache ambayo  yalinijia akilini mwangu...
Hatimaye Serikali imeonyesha kwa wananchi HATI YA MUUNGANO. Katika taarifa yake Katibu Mkuu Kiongozi Ombeni Sefue na waandishi wa habari jioni hii mjini Dar es salaam ameonyesha hati ya muungano iliyosainiwa na waasisi wa muungano huo hayati Mwalimu Julius Nyerere na Abeid Karume.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARILeo, Jumatatu, Oktoba 7, 2013, zimetungwa habari, zikaingizwa kwenye Mitandao ya Kijamii na kusambazwa sana zikidai kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametia saini Muswada wa Sheria ya Marekebisho...
Mbunge wa Mbeya Mjini, Mh. Joseph Mbilinyi ameburuzwa tena kortini kwa kuleta vurugu na kumjeruhi jicho askari wa bunge, Koplo Nikwisa Nkisu. Dodoma mwezi huu. Hata hivyo kuna utata mkubwa juu ya wabunge wanaoshtakiwa kuwa ni wale wa upinzania...
Wakati kuna kila dalili za nchi mpya kuzaliwa, ni fursa ya pekee kuchagua jina litakalo tafsiri nchi mpya yenye mabonde, maziwa na asali. Tunao uhuru wa kuchagua jina jipya kabisa badala ya jina Tanganyika au Tanzania Bara.Zaidi ya watanzania...
HOTUBA YA WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA, MHESHIMIWA MATHIAS M. CHIKAWE (MB.), AKIWASILISHA BUNGENI MPANGO NA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA 2013/2014A.      UTANGULIZI Mheshimiwa Spika, kutokana na taarifa yangu niliyoiwasilisha kwenye Kamati ya Katiba, Sheria na...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALITAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIOFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFUNGUA OFISI 23 KATIKA MIKOA MBALIMBALI KUFANIKISHA MPANGO WA UTENGANISHWAJI WA SHUGHULI ZA UPELELEZI NA UENDESHAJI WA MASHTAKA NCHINIUtangulizi Ofisi ya...
18(1)Kiongozi wa umma hatashiriki katika kufanya uamuzi wa jambo au shughuli yoyote ambayo ana maslahi nayo yeye binafsi,mwenza wake,mtoto wake,jamaa yake,rafiki au mtu yeyote wa karibu.(2)Kiongozi wa umma hatazungumzia kitu chochote katika Baraza la Mawaziri,Bunge,Kamati au chombo kingine chochote...