Kura zimashahesabiwa na takriban Wamisri milioniĀ  10 walijitokeza kuipigia kura ya ndiyo au hapana kwa katiba iliyajaa utata na yenye kupendelea msimamo wa waislamu wenye imani kali ya Undugu wa Kiislamu (Muslims Brotherhood). Katika taarifa zilizotolewa na vyombo mbalimbali...