Mmiliki wa kampuni mdogo kuliko wote duniani ni Suhas Gopinath wa IndiaAkiwa na miaka 14, miaka 10 iliyopita alianzisha Globals Inc ambayo ni kafteria ya internet huko Bengaluru, India hakujua kuwa yeye ndiye mmiliki wa kampuni mdogo kuliko wote...