Picha hizi zinawaonyesha Paul Kagame ambaye ni Rais wa Rwanda na Jakaya Mrisho Kikwete Rais wa Tanzania wakishiriki mkutano wa ICGLR ambao kwa kirefu ni International Conference on the Great Lakes Region uliofanyika huko Kampala Uganda mnamo tarehe 5...
KIKUNDI cha waasi cha M23 kinachopambana na jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), kimeripotiwa kupigwa vibaya na kutikisa nguvu za kikundi hicho kutokana na baadhi ya wapiganaji wake kuripotiwa kupoteza maisha.Mapigano baina ya M23 na Jeshi la...
Kwa ufupi ziara hii imelenga masuala makubwa mawili ya kidiplomasiaKuimarisha masuala ya demokrasia Kuimarisha mahusiano ya kiuchumiBarack Obama atakaa siku mbili kati ya tarehe 1 na 2 Julai 2013 na kufanya Tanzania kutembelewa na marais wawili wa Marekani na wote...
  Baada ya kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa kamati ya bunge mambo ya nje na mahusiano ya kimataifa. Hii wizara ndio ile inayoongozwa na mhasimu wake No 1 Ndugu Bernard Membe ambao ndio kwa sasa wenye mitandao mikubwa ndani ya CCM...
Tearful Obama Credits Staff for History-Books Campaign The morning after he won re-election, an emotional President Barack Obama credited his youthful staff of several hundred with running a campaign that will "go on in the annals of history." "What you...
Kumekuwepo na chokochoko ya kuwepo kwa vita kati ya Tanzania na Malawi baada ya Malawi kudai hivi karibuni kuwa ziwa lote la Nyasa ni male yake. Akiongea na vyombo vya habari, waziri wa mambo ya nje wa Malawi, Bwana...
Je wajua kuwa nchi ya Sudani ya Kusini itakuwa nchi ya kwanza mpya duniani kwa mwaka 2011? Hayo yatatimia baada ya wasudani 98.8% raia wa Sudan ya Kusini walioko ndani na nje ya Sudani ya kusini kupigia ndiyo kwa...