Kanisa kubwa la kipentekoste la PAG lachomwa moto mjini Zanzibar. Kanisa hilo lipo eneo la kariakoo Zanzibar. Ikumbukwe kwamba hili ni Kanisa mama na kanisa kubwa la kilokole kuliko yote hapa Zanzibar lenye takribani watu 500-800. Tukio hili limetokea...
Wasafiri wengi wemekwama Dumila Morogoro wakitokea Mwanza Shinyanga, Kahama, Dodoma nk na kwa upande wa pili wakitokea Dar, Morogoro, nk kwa sababu ya daraja linalounganisha Morogoro na Dodoma la Dumila kuharibiwa vibaya na mafuriko yaliyotokana na mvua zinazoendelea. Malori...
Tanzania kimenuka, sasa kila kukicha kuna uhalifu wa aidha ujambazi, ubakaji, wizi, mabomu, risasi, tindikali, kesi za kusingizia, migigoro ya Ardhi, mizozo ya nchi jirani na kadhalika. Hii imeendelea kuichafua Tanzania katika medani za kimataifa na hivyo kuweza kuadhiri...
IGP Mwema, RPC Andengenye watiwa hatiani na Josephat IsangoHATIMAYE ripoti ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, kuhusu vitendo vya uvunjaji wa haki za binadamu na mauaji yaliyotokea Arusha Januari 5, 2011 kwenye maandamano ya CHADEMA imevuja.Licha ya...
Ikiwa ni takribani mwezi mmoja tu tangu bomu lilipolipuka kwenye mkutano wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), mkoani Arusha, jana tukio kama hilo lilitokea jijini Dar es Salaam kwenye mkutano wa Mbunge wa Ubungo (Chadema), John Mnyika, ambao...
Aibu kubwa, CCM na Mtikila - Page 3 - JamiiForums http://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/473628-aibu-kubwa-ccm-na-mtikila-3.html Jana na juzi tumepokea katika mitandao na barua pepe mbalimbali Tamko la Chama cha DP kuhusu bomu la Arusha, licha ya kulisoma tamko ...TAMKO LA CHAMA CHA DP KUHUSU BOMU LA...
Exclusive video; video nzima ya mkutano wa chadema ulioshambuliwa kwa bomu la kutupa kwa mkono, risasi pamoja na mabomu ya machozi. Muda ni 01:31:18. Tunaomba radhi kwa picha za kutisha na matukio ambayo si mazuri yatakayo onekana. • baada ya...
Wana Jf,Imethibitika kwamba technology ya mawasiliano hivi sasa imekua kwa kasi ya ajabu sana, kiasi chakufikia kuwa kumbe siyo lazima tutegemee camera za waandishi wa habari kuchukua matukio.Ni kwamba chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kwenye mkutano wake wa...
 Mmoja wao ni kiongozi mwenye asili ya kisomali, aliyekuwa msimamizi wa moja ya vituo vya kupigia kura. Kabainisha kuwa kama msimamizi mkuu na wakala wa chama chake kwenye zoezi la kupiga kura za udiwani, aliye apishwa na tume wajibu wake...
Mh John Mnyika akiwa Mahakamani kuwasubiri wabunge wenzake aliongea na vyombo vya habari na kutoa tamko hasa kuhusiana na usalama wa wagonjwa waliolazwa katika hospitali mbalimbali Arusha na mazishi ya kiongozi wa chama Judith MushiAkiongea na waandishi wa habari,...
MWENYEKITI wa CHADEMA Freeman Mbowe, amevituhumu vyombo vya dola kuwa vinawafahamu watu walioshiriki kwenye mlipuko wa bomu uliotokea juzi katika viwanja vya Soweto kwenye mkutano wa chama hicho. Mbowe, alisema tukio hilo ni la kupangwa na wamegundua risasi za bunduki aina...
Bomu la kurushwa lililokuwa kwenye mfuko wa plastiki limelipuka katika mkutano wa CHADEMA katika viwanja vya Soweto, Kaloleni Arusha na kuua watu wawili akiwemo mtoto. Idadi ya waliofariki mpaka sasa ni Katibu wa Baraza la Wanawake (Bawacha) wa Chadema,...
Wafanyakazi wa migodi ya dhahabu ya Lonmin's Marikana platinum mine, Rustenburg, km kama 100 kaskazini magharibi mwa Johannesburg waliingia kwenye mgomo na maandamano ya kudai nyongeza ya mishahara mnamo tarehe 16 Agosti 2012. Katika kukabiliana na mgomo huo polisi...
Kamanda wa polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam Kamanda Suleiman Kova amezungumza na waandishi wa habari kuhusu tukio hilo la utekaji nyara na kujeruhi lililompata kiongozi mgomo wa Madaktari Steven Ulimboka anayedaiwa kutekwa na watu watano wakati akipata...
Wakati hayo yakitokea inadaiwa kuwa Askari Kanzu mmoja alikumbana na kipigo kikali kutoka kwa madaktari hapo Muhimbili kwa kile kilochodaiwa kutambuliwa na Dkt Ulimboka kuwa mmoja wa watu walio mjeruhi.Pia inadaiwa kuwa Askari huyo aliingia chooni na kufanya mawasiliano...
Akisimulia mkasa huo mmoja wa madaktari wenzie aliyefahamika kwa jina moja la Dkt Deo, alisema kuwa alipigiwa simu na mtu hasiyemfahamu na kumfahamisha tukio hilo.Alisema alipofika katika kituo cha Polisi cha Bunju, alimkuta akiwa katika hali mbaya na ilikuwa...
Akisumulia tukio hilo Dkt Ulimboka alisema kuwa  jana usiku alipigiwa simu na mtu aliyejitambulusha kwake kuwa anaitwa Hemed, aliyemwambia kuwa anahitaji kuongea naye, na ndipo walipopanga kuonana katika eneo la Leaders Kinondoni.Dk Ulimboka aliyekuwa akiongea kwa tabu, aliendelea kusimulia...
TAMKO LA ASKOFU MKUU WA TANZANIA ASSEMBLIES OF GOD, DK.BARNABAS MTOKAMBALI, KUHUSU MATUKIO YANAYOASHIRIA UVUNJIFU WA AMANI NCHINI.Kwa kipindi kirefu sasa kumekuwa na mfululizo wa matukio yanayoashiria uvunjifu wa amani, umoja na utengamano wa taifa letu la Tanzania, haya ndiyo yanayonisukuma kutoa...
Taarifa hapa chini imetolewa na chama cha madaktari Tanzania (MAT) na inaonyesha kuwa kuna uwezekano mkubwa wa mgomo kuanza tena baada ya tarehe 7 Machi 2012. Kwa undani zaidi endelea kusoma taarifa yenyewe:05/03/2012 MSIMAMO JUU YA UTEKELEZAJI WA MADAI YA...