SORAGA ALIWAFANANISHA UAMSHO NA ALSHABAAB.. HUGEUZA AYA KWA MASLAHI YAKE.. YUKO TAYARI KUWARIDHISHA VIUMBE (SERIKALI)NA KUMKASIRISHA ALLAH.. HUYU NI SAWA NA ABADLLAH BIN UBAYD BINSALOON WAKATI WA MTUME.Assalamu Alaykum Warahmatullah Waba rakatu. Baada ya kumshukuru Allah nakumtakia rehma bwana Mtume saw ,nataka tuhadharishane juu...
Kuna taarifa kuwa watu watano (wakristo wanne na mwislamu mmoja) wameuawa na wengine nane kujeruhiwa kule misri katika mapigano karibu na KAiro ambayo yalisababishwa kwa wakristo wawili kuuawa nao wakaliupiza kwa kumua mwislkamu mmoja.Wakristo hata hivyo wameandamana wakidai rais...
Taarifa za hivi punde zinaeleza kuwa kumetokea mlipuko mkubwa unaosadikiwa kuwa kusababishwa na bomu la kurushwa wakati ibada ilipokuwa ikiendelea katika kanisa jipya la parokia ya Olasiti, jijini Arusha na kuua watu wanne na majeruhi kadhaa.Kanisa hilo lilikuwa linazinduliwa...
Ilianza kama chokochoko kidogokidogo za wale wanaojihesabia kuwa wasafi na washika dini kuliko wengine na sasa imekuwa mbaya sana.Kule Bangui, Afrika ya kati Waislamu ambao hapo juzi tu walikuwa wakiishi kama ndugu moja na Wakristo wenzao sasa kwa mamia...
"walipomwona walimfuata na kumng’angania huku wakisema wanataka laptop yake na nyaraka muhimu,”Aidha, ndugu huyo alisema anashangazwa na taarifa za polisi kuonyesha mapanga na kigoda pekee, huku kompyuta haijulikani ilipo na watu hao tangu wanaingia walihitaji kompyuta na nyaraka muhimu. Familia...
Toka jana jioni wakazi wa jiji la Arusha wameendelea kuwa katika taharuki na minong’ono hapa na pale kutokana na tukio la kupigwa risasi binti mmoja aitwaye Violeth Mathias katika ofisi za TRA Arusha. Mwanadada huyu aliyeonesha jeuri ambayo haikutegemea...
Polisi wamempiga risasi mwanamke anayeaminika ni mfanyabiashara kando ya benki ya mapato ya CRDB Arusha. Mashuhuda wamesema kuwa mama huyo alipaki gari lake vibaya na hapo ndipo mabishano yakaanza kati ya huyo mama na polisi. Mama alisikika akisema siwaogopi...
Tanzania kimenuka, sasa kila kukicha kuna uhalifu wa aidha ujambazi, ubakaji, wizi, mabomu, risasi, tindikali, kesi za kusingizia, migigoro ya Ardhi, mizozo ya nchi jirani na kadhalika. Hii imeendelea kuichafua Tanzania katika medani za kimataifa na hivyo kuweza kuadhiri...
IGP Mwema, RPC Andengenye watiwa hatiani na Josephat IsangoHATIMAYE ripoti ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, kuhusu vitendo vya uvunjaji wa haki za binadamu na mauaji yaliyotokea Arusha Januari 5, 2011 kwenye maandamano ya CHADEMA imevuja.Licha ya...
Ikiwa ni takribani mwezi mmoja tu tangu bomu lilipolipuka kwenye mkutano wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), mkoani Arusha, jana tukio kama hilo lilitokea jijini Dar es Salaam kwenye mkutano wa Mbunge wa Ubungo (Chadema), John Mnyika, ambao...
Wana Jf,Imethibitika kwamba technology ya mawasiliano hivi sasa imekua kwa kasi ya ajabu sana, kiasi chakufikia kuwa kumbe siyo lazima tutegemee camera za waandishi wa habari kuchukua matukio.Ni kwamba chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kwenye mkutano wake wa...
 Mmoja wao ni kiongozi mwenye asili ya kisomali, aliyekuwa msimamizi wa moja ya vituo vya kupigia kura. Kabainisha kuwa kama msimamizi mkuu na wakala wa chama chake kwenye zoezi la kupiga kura za udiwani, aliye apishwa na tume wajibu wake...
Mh John Mnyika akiwa Mahakamani kuwasubiri wabunge wenzake aliongea na vyombo vya habari na kutoa tamko hasa kuhusiana na usalama wa wagonjwa waliolazwa katika hospitali mbalimbali Arusha na mazishi ya kiongozi wa chama Judith MushiAkiongea na waandishi wa habari,...
MWENYEKITI wa CHADEMA Freeman Mbowe, amevituhumu vyombo vya dola kuwa vinawafahamu watu walioshiriki kwenye mlipuko wa bomu uliotokea juzi katika viwanja vya Soweto kwenye mkutano wa chama hicho. Mbowe, alisema tukio hilo ni la kupangwa na wamegundua risasi za bunduki aina...
Taarifa Kutoka  Chuo Cha Uhasibu Arusha zinadai kuwa Mwanafunzi Wa BEF 2  anayeitwa  Henry  ameuawa  kikatili  na  watu  wanaodhaniwa kuwa ni majambazi/vibaka karibu na nyumba alikopangishaHenry alikuwa akitoka katika kujisomea na alipomaliza aliondoka na kuelekea eneo hostel alipigiwa simu...
 Mfanya biashara mmoja Mtanzania Mkumbukwa John Shayo kasadikika kuuawa kinyama na maiti yake kukaa mortuary mwaka mzima kabla haijatambuliwa na ndugu zake huku Tanzania. Baada ya kuuawa mwanamama huyo akaolewa haraka na rafiki yake wa karibu wa marehemu.Maiti yawekwa...
Wafanyakazi wa migodi ya dhahabu ya Lonmin's Marikana platinum mine, Rustenburg, km kama 100 kaskazini magharibi mwa Johannesburg waliingia kwenye mgomo na maandamano ya kudai nyongeza ya mishahara mnamo tarehe 16 Agosti 2012. Katika kukabiliana na mgomo huo polisi...
Gazeti la MwanaHalisi toleo la Jumatano, 25, Julai 2012 limeandika kwa kina maelezo ya waliohusika na utekaji, utesaji na kujeruhiwa sana kwa kiongozi wa jumuiya ya madaktari Tanzania, Dr Steven Ulimboka mnamo tarehe 26 Juni 2012. Katika taarifa hiyo,...
Aliyemteka, kumtesa na kumuumiza viabaya Dk. Ulimboka Akamatwa na Polisi. Taarifa ya kamanda wa kanda maalum ya Dar es salaam Kova kwa vyombo vya habari zimedai kuwa RAIA wa Kenya, Joshua Gitu Mulundi (31) amekamatwa na polisi jijini Dar...