Je wajua hii misemo ya wabunge bungeni?Wabunge wa bunge la Tanzania kwa nyakati tofauti ndani na nje ya bunge wamekuwa wakitoa misemo mbalimbali na ya ajabu yenye kujenga, kubomoa na kuchekesha kila mtu aliyesikia, ona kwa macho au kupitia...
Rais wangu  Jakaya Mrisho Kikwete,Natumaini hujambo na Mungu wetu mwema anaendelea kukujalia afya njema, furaha na amani. Hongera sana kwa ujenzi wa taifa letu.Ninakuandikia leo hii 23/09/2013 ujumbe huu wa wazi wenye  maneno  machache ambayo  yalinijia akilini mwangu...
Je unajua kuwaNchi tajiri duniani zina uhaba wa rasilimali Nchi maskini duniani zina utajiri wa rasilimali