Msimu ujao utashuhudia sura nyingi mpya katika ligi maarufu duniani ya Uingereza ijulikanayo kama EPL wakizitetea kwa ari mpya timu zao ili kutetea first eleven ambayo ndiyo itakayowapa nafasi ya kujulikana na kupanda bei zaidi. Mojawapo ya sura mpya...
Mwanamuziki Lady Gaga wa Marekani bila kuogopa umati mkubwa kwamba utamuumiza au kumchafua akijimwaga waziwazi akiwa amejivalia nguo zake za chekecheke na zenye kuonyesha waziwazi uchi wake.Wanamuziki wa Marekani ni kawaida yao kuimba huku wakiwa nusu uchi au uchi...
Everton on their first pre-season match in East Africa smashed Gormahia of Kenya 2:1 on the match kicked off at the Tanzania main arena "Uwanja wa Taifa'.  Everton was the first team to score a goal with a lovely goal...
The UK based online news portal, the Daily Mail Online, is getting criticism for referring the Tanzanian capital, Dar Es Salaam, as a ‘fishing village.’ This reference is filed from their first paragraph of a article about the arrival...
Paul Pogba center forward wa Juventus mabingwa wa Italia amesiani mkataba wa miaka mitano (5) na Machester United kwa uhamisho wa paundi milioni 89 na kufanya kuwa ni uhamisho wa dhamani na wa historia katika ligi ya Uingereza katika...
Wahasimu wa Messi wanadai;Messi ana Aguero, Di Maria na Higuan lakini wakashindwa kutwaa kombe la Copa America Ronaldo ana Nani, Ader na Quaresma na akashinda kombe la UEFA EUROMchezo wa jana wa Fainali za UEFA Euro 2016 katika...
Timu ya taifa la Ureno imeweza kunyakua ubingwa wa Euro 2016 baada ya kuibwaga timu ya Taifa ya Ufaranza (Wenyeji) kwa goli moja lililofungwa na Eder aliyefunga kwa shuti kali upande wa kulia mwa golkipa wa Ufaranza katika dakia za nyongeza baada ya timu hizo kutoka bila ya kufungana katika muda wa kawaida.
[youtube https://www.youtube.com/watch?v=C_fEIVwjrew]Bingwa wa dunia kwa upande wa ngumi uzito wa juu kwa takriban miongo mitatu Muhammad Ali Afariki dunia akiwa na umri wa miaka 74.Muhammad Ali (Jina lake la awali kabla hajabadili dini ni Cassius Marcellus Clay, Jr.) alizaliwa...
Jiji la Arusha laanza kuhoji uhalali wa mali za chama hicho Siri zafichuka kuhusu umiliki Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Ulijengwa kwa nguvu za wananchi na serikali Umiliki wake ulikuwa chini ya Arusha Town Council kabla ya 1996WAKATI...
Bidvest Wits imeangukia pua kwenye uwanja wake wa nyumbani baada ya kupatiwa kichapo cha mabao 3-0 na AZAM FC ya Tanzania. Huo ulikuwa ni mchuano wa mzunguko wa kwanza wa kuwania kombe la washindi lijulikanalo kama CAF Confederation Cup.AZAMA...
Mwabingwa wa Rwanda APR wamepata kipigo kikubwa nyumbani kwao kweny kinyang;anyiro cha kuwania ubingwa wa Afrika baada ya kuchapwa mabao 2:1 na Yanga ya Tanzania kwenye mchuano uliofanyika kwenye uwanja wa Amahoro, Kigali Rwanda siku ya Jumamosi ya tarehe...
Jina la mwisho: SAMATTA Jina la kwanza: Mbwana Aly Tarehe ya kuzaliwa: 23 Desembar 1992 Mahali alipozaliwa:  Dar es Salam (Tanzania) Uraia:  Mtanzania Ndoa:  Bado hajaoa Urefu / Uzito:  1m80 / 75 kg Nafasi:  Mshambuliaji Timu ya sasa:  KRC Genk ya Ubelgiji Tarehe aliyojiunga: 29 Januari 2016) Timu za...
Inasadikiwa kuwa baadhi ya wachezaji mastaa wa klabu ya Chelsea ya Uingereza walimsaliti Kocha Jose Mourinho hadi kufukuzwa kazi klabuni hapo mnamo Tarehe 17 Desemba 2015 baada ya matokeo mabaya msimu huu. Chelsea imepoteza mechi 9 kati ya 16...
Magoli 10 bora ligi kuu ya Uingereza 2014/15 haya hapahttp://cdn.playwire.com/bolt/js/zeus/embed.js
Ligi ya Uingereza alimaarifu kama EPL imeanza leo huku Mabingwa watetezi Chelsea wakishindwa kunyakua pointi zote tatu baada ya kutoka sare ya 2:2 na klabu ya Swansea City.Magoli ya Chelsea yalifungwa na Oscar kipindi cha kwanza dakika ya...
Chelsea Mabingwa wa Uingereza 2015
Newcastle United F.C.
Liverpool_logo copy
Manchester United F.C. 1563