Paul Pogba center forward wa Juventus mabingwa wa Italia amesiani mkataba wa miaka mitano (5) na Machester United kwa uhamisho wa paundi milioni 89 na kufanya kuwa ni uhamisho wa dhamani na wa historia katika ligi ya Uingereza katika...
Inasadikiwa kuwa baadhi ya wachezaji mastaa wa klabu ya Chelsea ya Uingereza walimsaliti Kocha Jose Mourinho hadi kufukuzwa kazi klabuni hapo mnamo Tarehe 17 Desemba 2015 baada ya matokeo mabaya msimu huu. Chelsea imepoteza mechi 9 kati ya 16...
Magoli 10 bora ligi kuu ya Uingereza 2014/15 haya hapahttp://cdn.playwire.com/bolt/js/zeus/embed.js
Ligi ya Uingereza alimaarifu kama EPL imeanza leo huku Mabingwa watetezi Chelsea wakishindwa kunyakua pointi zote tatu baada ya kutoka sare ya 2:2 na klabu ya Swansea City.Magoli ya Chelsea yalifungwa na Oscar kipindi cha kwanza dakika ya...
Chelsea Mabingwa wa Uingereza 2015
Newcastle United F.C.
Liverpool_logo copy
Manchester United F.C. 1563
Manchester City F.C
Blackburn Rovers F.C
 Imevunja rekodi ya kuongoza ligi kwa siku 274 zaidi ya ile ya MAN United ya siku 262 mwaka 1993/4 na ya kwake yenyewe ya siku 257 ya mwaka 2005/6 Imevunja pia rekodi ya kupoteza mechi chache. Imepoteza mechi nne tu...
Chelsea yaifunga Crystal Palace 1:0 Nyumbani Ubingwa huu ni wa Tano katika historia ya timu Wavunja rekodi ya kuongozi ligi toka mwanzo mpaka mwisho
Wewe kwa maoni yako na mtizamo wako ni mchezaji gani ameleta mapinduzi na mafanikio kwenye timu ya Arsenal na kwa sababu gani?Je ni mbunifu? Ana juhudu awapo uwanjani? Ana kipaji? Ana kismati? Anashirikiana na wenzake vizuri? Ana uzoefu wa kutosha? Una maoni gani...
Wewe kwa maoni yako na mtizamo wako ni mchezaji gani ameleta mapinduzi na mafanikio kwenye timu ya Chelsea na kwa sababu gani?Je ni mbunifu? Ana juhudu awapo uwanjani? Ana kipaji? Ana kismati? Anashirikiana na wenzake vizuri? Ana uzoefu wa kutosha? Una maoni gani...
Je wajua mabingwa wa ligi ya Uingereza kuanzia mwaka 1947 hadi 2013? Orodho kamili ya Mabinghwa hao hii hapa.Alalm * inaonyesha ubingwa wa kwanza wa klabu husika Alama - inaonyesha ubingwa wa mwisho wa klabu husikaFootball League Champions 1889-1915 1889 *Preston...
Je wajua mabingwa wa ligi ya Uingereza miaka hiyo ya 1800? Orodho kamili ya Mabinghwa wa mwanzo kabisa hii hapa. Alalm * inaonyesha ubingwa wa kwanza wa klabu husika Alama - inaonyesha ubingwa wa mwisho wa klabu husika1889 *Preston NE 1890 ...