Manchester City F.C
Blackburn Rovers F.C
 Imevunja rekodi ya kuongoza ligi kwa siku 274 zaidi ya ile ya MAN United ya siku 262 mwaka 1993/4 na ya kwake yenyewe ya siku 257 ya mwaka 2005/6 Imevunja pia rekodi ya kupoteza mechi chache. Imepoteza mechi nne tu...
Chelsea yaifunga Crystal Palace 1:0 Nyumbani Ubingwa huu ni wa Tano katika historia ya timu Wavunja rekodi ya kuongozi ligi toka mwanzo mpaka mwisho
Mayweather amshinda Many Pacquiao katika pambano la karne kama ilivyotabiriwa. Hii inamfanya Mayweather kuendeleza rekodi yake nzuri ya kushinda mapambano yake ya 48-0
Timu za Uingereza ndizo zinazoongoza kwa kuwa na jumla ya timu tano (Man United, Mancity, Chelsea, Arsenal na Liverpool)  kwenye orodha ya timu 10 tajiri zaidi duniani na zote zikiwa na dhamani ya dola za kimarekani bilioni 8.112, zikifuatiwa...
Chelsea yatolewa nyumbani na wachezaji 10 wa PSG katika goli la dakika ya 114 lilifungwa na Thiago Silva ambaye naye alijisahihisha baada ya kusababisha penalti golini mwake. Yaani Chelsea wameboa sana [youtube https://www.youtube.com/watch?v=gjhBLkq9AFc&w=640&h=480]
Ufuatao ni Wosia wa Hatari wa Lady JD kwa Cloud FM Isipige Nyimbo zake wala kutangaza kifo chake, Ruge Mtahaba na Joseph Kusaga wasihudhurie mazishi yakeKatika hali ambayo haijawahi kutokea katika tasnia ya muziki kwa kumbukumbu zangu za miaka...
Kocha wa Arsenal, Arsene Wenga alijitahidi tangu 2013 kuwania kumsajili Luis Suarez mshambulkiaji wa timu ya Taifa ya Uruguay bila mafanikio. Wenga alilipa dau la Uro mil 40 ambazo hazikutosha, mwaka jana akajaribu tena na badala yake Suarez akasajiliwa...
Wewe kwa maoni yako na mtizamo wako ni mchezaji gani ameleta mapinduzi na mafanikio kwenye timu ya Real Madrid na kwa sababu gani? Je ni mbunifu? Ana juhudu awapo uwanjani? Ana kipaji? Ana kismati? Anashirikiana na wenzake vizuri? Ana uzoefu wa kutosha? Una maoni gani wewe? Bofya...
Wewe kwa maoni yako na mtizamo wako ni mchezaji gani ameleta mapinduzi na mafanikio kwenye timu ya Real Madrid na kwa sababu gani?Je ni mbunifu? Ana juhudu awapo uwanjani? Ana kipaji? Ana kismati? Anashirikiana na wenzake vizuri? Ana uzoefu wa kutosha? Una maoni gani wewe? Bofya...
Wewe kwa maoni yako na mtizamo wako ni mchezaji gani ameleta mapinduzi na mafanikio kwenye timu ya Arsenal na kwa sababu gani?Je ni mbunifu? Ana juhudu awapo uwanjani? Ana kipaji? Ana kismati? Anashirikiana na wenzake vizuri? Ana uzoefu wa kutosha? Una maoni gani...
Wewe kwa maoni yako na mtizamo wako ni mchezaji gani ameleta mapinduzi na mafanikio kwenye timu ya Chelsea na kwa sababu gani?Je ni mbunifu? Ana juhudu awapo uwanjani? Ana kipaji? Ana kismati? Anashirikiana na wenzake vizuri? Ana uzoefu wa kutosha? Una maoni gani...
Christiano Ronaldo amechaguliwa kuwa mchezaji bora duniani kwa mwaka 2014/15 kule Zurich, Switzerland. Ronaldo kawashinda washindani wake ambao alikuwemo Lionel Messi wa Barcelona na kipa wa Bayern Minich na timu ya taifa la ujerumani, Manuel Neur. Hii ni mara ya tatu kwa Ronaldo kushinda taji hili la FIFA.
Leo nielezee kidogo mechi za wiki ya mwisho wa Novemba, 2014 hasa mechi ya Arsenal na West Brom pamoja na ile ya Barcelona na Apoel Nicosia.  Natangaza msimamo timu zangu ninazozishabikia huwa ni Real Madrid na Chelsea kwa hiyo...
Real Madrid imekubali kumsajili mshindi wa kiatu cha dhahabu kwenye mashindano ya kombe la dunia 2014 yaliyomalizika hivi karibuni huko Brazil James Rodriguez kutoka klabu cha MonacoMabingwa hao wa UEFA wanamsajili mashambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 23 kwa...
Hii hapa chini ndio msimamo wa ubora wa mpira wa miguu yaani soka kwa mataifa mbalimbali. Ujerumani baada ya ushindi wake wa kulinyakua kombe la dunia imepiga hatu moja mbele na kuwa Taifa la kwanza lenye soka bora duniani....
Haya ndio magoli 10 bora yaliyofungwa kwenye michuano ya kombe la dunia 2014 huko Brazil.Goli la kwanza kwa ubora Goli la karne, ni goli bora kupita yote kwenye mashindano ya dunia ya mwaka 2014 huko Brazil ambalo lilifungwa na sio...