Ifuatayo hapa chini ni historia ya timu zilizowahi kulichukua kombe la dunia kwa mlolongu wa mwaka, timu iliyoshinda, timua ya pili uwanja, mji na mahudhurio ya watazamaji kwenye fainali husika.Kwa jedwali hili, Brazil inaongoza kwa kuchukua mara 5, ikifuatiwa...
Hatimaye Ujerumani baada ya miaka 20 imefanikiwa kulichukua kombe la dunia la mwaka 2014 huko Brazil baada ya kiungo wa Bayern Munich na ambaye aliingia badala ya Klose kwa jina ni Mario Gotze aliweza kufunga goli zuri baada ya...
Brazil ndio timu pekee iliyoweka rekodi ya kufungwa mabao mengi kuliko timu zote zilizoshiriki kwenye kombe la dunia tangu zianzishwe yapata miaka 84 iliyopita. Brazil juzi tarehe 8 Julai 2014 saa 5 usiku kwa saa za Afrika ya Mashariki...
Brazil Jumatano watamkosa Neymar na Kapten wa timu na beki anayetegemewa sana, Thiago Silva, what a big loss, je hii nina maana Ujerumani wamepata mteremko? Mshambuaji wa kimataifa wa Brazil anayeichezea klabu cha Barcelona NeyMar ameumia nyuma eneo la mgongo...
Je wajua kuwa timu zote za kwanza kwenye makundi zimezifunga timu zilizoshika nafasi ya pili???Michezo ya 16 mtoano ilikuwa cha mtoto, leo ndio mechi za mabingwa Ufaransa mshindi wa kundi E anakutana na Mjerumani mshindi wa kundi G leo saa...
Hii ni ratiba ya kombe la dunia huko Brazil mwaka 2014 katika hatua ya nusu fainaliMasaa ya huko Brazil, tafadhali bonyeza kurudisha kwenye masaa ya kwako. Masaa ya eneo lako, tafadhali bofya hapa kuyarudisha kwenye masaa ya Brazil.Ratiba ya Nusu...
Hii ni ratiba ya kombe la dunia huko Brazil mwaka 2014 katika hatua ya robo fainaliMasaa ya huko Brazil, tafadhali bonyeza kurudisha kwenye masaa ya kwako. Masaa ya eneo lako, tafadhali bofya hapa kuyarudisha kwenye masaa ya Brazil.Masaa ya huko...
Hii ni ratiba ya kombe la dunia mzunguko wa timu 16.Masaa ya huko Brazil, tafadhali bonyeza kurudisha kwenye masaa ya kwako. Masaa ya eneo lako, tafadhali bofya hapa kuyarudisha kwenye masaa ya Brazil.Masaa ya huko Brazil, tafadhali bonyeza kurudisha kwenye...
Hii ni ratiba ya kombe la dunia katika hatua ya mtoano. Inajumuisha mtoano katika mzunguko wa timu 16, robo fainali, nusu fainali, kutafuta mshindi wa tatu na fainali yenyeweMasaa ya huko Brazil, tafadhali bonyeza kurudisha kwenye masaa ya kwako. Masaa...
Masaa ya huko Brazil, tafadhali bonyeza kurudisha kwenye masaa ya kwako. Masaa ya eneo lako, tafadhali bofya hapa kuyarudisha kwenye masaa ya Brazil.Masaa ya huko Brazil, tafadhali bonyeza kurudisha kwenye masaa ya kwako. Masaa ya eneo lako, tafadhali bofya hapa kuyarudisha...
Masaa ya huko Brazil, tafadhali bonyeza kurudisha kwenye masaa ya kwako. Masaa ya eneo lako, tafadhali bofya hapa kuyarudisha kwenye masaa ya Brazil.Masaa ya huko Brazil, tafadhali bonyeza kurudisha kwenye masaa ya kwako. Masaa ya eneo lako, tafadhali bofya hapa kuyarudisha...
Wadachi kwanza wamechukulia mechi hii kuwa ni zaidi ya mashindano ya kombe la dunia, ni ya kulipiza kisasi baada ya Hispania kuwafunga kwenye dakika za nyongeza 2010 huko Afrika ya Kusini kwenye fainali za kombe la dunia kama haya.Goli...
Ifuatayo hapa chini ni ratiba nzima ya fainali za kombe la dunia 2014 Brazil iliyopangwa kwa tarehe. Masaa yamewekwa kwa saa za Afrika ya Mashariki.
Ifuatayo hapa chini ni ratiba nzima ya michuano ya kombe la dunia 2014 Brazil. Masaa yamewekwa kwa saa za AFrika ya Mashariki. Kama kuna tofauti ya muda tafadhali tuandikie haraka
Tabiri timu itakayoshinda kwenye fainali za kombe la dunia huko Brazil zinazotarajiwa kuanza tarehe 12 Juni 2014.MashartiTabiri kabla ya mechi kuanza (masaa 24 kabla) Lazima ujisajili kwenye tovuti hii ili uweze kutabiri Kila atakyetabiri vizuri atajipatia Shs. 10,000/- za Chakula na...
Timu za Afrika hazijafanya vizuri ukiondoa michezo ambazo zilikuwa sare, nyingi ni kwamba timu zetu zimefungwa na saa nyingine hata na timu ambazo hazina majina makubwa.Michezo ya Kimataifa za Kirafiki08.06. 01:00 USA Nigeria 2 : 107.06. 23:45 England Honduras 0 : 007.06. 23:00 Spain Salvador 2 : 007.06. 21:45 Argentina Slovenia 2 : 007.06. 21:45 Belgium Tunisia 1 : 007.06. 21:30 Hungary Kazakhstan 3 : 007.06. 20:00 Estonia Tajikistan 2 : 107.06. 17:00 Cameroon Moldova 1 : 007.06. 03:30 Mexico Portugal 0 : 107.06....
Siku chache zilizopita Samwell Etoo alimuita kocha wake Jose Mourinho kuwa ni mjinga na sasa amerudia tena kumuita Jose Mounrinho kuwa ni sawa na mpiga debe
Ikiongozwa na kocha mwenye bahati, makini, mtulivu asiye na makeke. Mwenye kubadilika kimfumo, Ancelotti, Real Madrid imeubuka kidedea baada ya kuwabugiza Wajerumani kwao 4 kwa mtungi.Magoli ya Ramos na Cristiano Ronaldo sio tu zimezima ndoto ya kuchukua ubingwa wa...
Je wajua mabingwa wa ligi ya Uingereza kuanzia mwaka 1947 hadi 2013? Orodho kamili ya Mabinghwa hao hii hapa.Alalm * inaonyesha ubingwa wa kwanza wa klabu husika Alama - inaonyesha ubingwa wa mwisho wa klabu husikaFootball League Champions 1889-1915 1889 *Preston...
Timu 5 za michezo zenye chapa ya dhamani kubwa kuliko zote duniani kwa mwaka 2013 hizi hapa1.  Real Madrid - Dola za Kimarekani milioni 450 2.  Newyork Yankees - Dola za Kimarekani milioni 443 3.  Manchester United - Dola za Kimarekani...