Hapa chini ni matukio 10 ya michezo yenye dhamani kuliko aote duniani kwa mwaka 2012 na 201310. MLB All-Star WeekDhamani 2013: Dola za Kimarekani milioni 86 Dhamani 2012: Dola za Kimarekani milioni 789. Kentucky DerbyDhamani 2013: Dola za Kimarekani milioni...
Je wajua mabingwa wa ligi ya Uingereza miaka hiyo ya 1800? Orodho kamili ya Mabinghwa wa mwanzo kabisa hii hapa. Alalm * inaonyesha ubingwa wa kwanza wa klabu husika Alama - inaonyesha ubingwa wa mwisho wa klabu husika1889 *Preston NE 1890 ...
Huu hapa ndio msimamo wa ligi ya Uingereza mapaka tarehe 9/2/2014 mara baada ya kila timu kucheza michezo 25 na kubakiza michezo 5 isipokuwa Fulhama, Evarton, Man U na Tottenham ambazo zote kila mmoja amecheza jumla ya michezo 24...
Jose Monrinho adai West Ham wamecheza mpira wa karne ya 19 kwa kucheza defensive game akisahau yeye kufanya hivyo kwenye kombe la mabingwa akiwa na Intermilan pale alivyojihami kwa kucheza defensive game. Pia amesahau juzi walipocheza na Arsenal alifanya...
Jina: Elizabeth Michael (Maarufu kwa  LULU)Kuzaliwa: 1995Nchi: TanzaniaKazi:Mwigizaji wa movi za kibongo
Wema Sepetu

Wema Sepetu

Jina: Wema SepetuKuzaliwa: 1988Nchi: TanzaniaKazi:Mitindo, urembo ambaye aliwahi kuwa Miss Tanzania mwaka 2006 na kuwakilisha Tanzania katika mashindano ya Dunia yaliyofanyika Poland 2006Mwigizaji wa movi za kibongo 
Picha juu: Rachel Geras kulia akieleza jamboNimetokea kuangalia Sporah Show kupitia Star TV kwa bahati mbaya na kushuhudia waongeaji wakikejeli na kuudharau musiki wa Tanzania na hasa waimbaji wake. Kwa mfano walitoa mfano wa mwimbaji kama Diamond ni maarufu...
Mwanariadha wa kike Mary Naali kutoka African Ambasadors ya Arusha amefanikiwa kushinda mbio za nusu marathon ya Km21 yanayoitwa 2013 Bucharest International Maranton yaliyofanyika huko Romainia tarehe 19 Mei 2013 kwa kiwango cha medali ya dhahabu  Katika Mashindano hayo wakongwe...
Manchester United kuadhibiwa na UEFA baada ya Ferguson kukataa kuongea na vyombo vya habari kama wajibu wake kufuatia mchezo wa kufuzu kucheza robo fainali za klabu bingwa ulaya kati ya Manchester United na Real Madrid jana. Wakitangaza msimamo huo...
Kwa historia tu Alex Ferguson wa Manchester United na Mourinho wa Real Madrid wameshakutana mara 14 kama mameneja wa timu na Mourinho yuko kwenye upande mzuri zaidi wa kumshinda mwenzake kama ifuatavyo Jose Mourinho kashinda x 6 Wametoka Sare x5 Alex Ferguson kashinda x 3Kombe...
Mechi zilizokamilikaGroup AAfrika ya kusini na Cape Verde hao wamefunzu kucheza nane bora huku kocha wa Morocco akibaki analia kwa timu yake ambayo ilipewa nafasi kubwa ya kuifunga Afrika Kusini kushindwa kufurukuta mbele ya wana bafana bafana ambao...
Mpira haukuwa mzuri kama ulivyotarajiwa na wengi. Bunduki za nguvu za mbali na karibu za Waangola hazikuonekana kabisa. Kipindi cha kwanza Morocco walitawala huku wakicheza rafu za hapa na pale. Angola wao walichanganyikiwa na kujikuta wakijiangusha angusha tu. Hata hivyo...
Tajiri wa Chelsea Abramovich amemtosa Di Matteo na kumuajiri Raphael Banitez kuwa kocha mpya wa Chelsea baada ya Chelsea kutandikwa mabao 3.0 na Juventus juzi katika Ligi ya Mabingwa Ulaya. Mabadiliko haya ya mara kwa mara ya makocha Chelsea hayana...
Mchezaji kutoka Argentina, Lionel Messi ndie mchezaji wa mpira wa miguu anayelipwa zaidi (Euro 33 Milioni kwa mwaka) kuliko wachezaji wengine duniani. Anafuatiwa na David Beckham wa Uingereza kwa Euro 31,5 milioni kwa mwaka na wa tatu ni Christian...
Timu ya Taifa, Taifa Stars yaishinda Gambia kwa mabao 2:1 na kuweza kupanda ngazi hadi ya pili kwa msimamo wa ligi kuwania nafasi ya kufuzu kushiriki kombe la dunia 2014 kwa tiketi ya Afrika. Inayoongoza kwa sasa ni timu...
 Kocha wa mpira wa miguu aliyekaa na timu moja kwa muda mrefu ni Sir Alex Ferguson anayeifundisha timu ya mpira ya miguu ya Manchester United. Ferguson amezaliwa 31 December 1941huko Scotland.  Akiwa kama mchezaji na baadaye kocha wa timu...
SIMBA SC imesonga mbele mashindano ya CAF na kuingia Raundi ya Tatu kwa faida ya bao la ugenini baada ya kufungwa mabao 3-1 na ES Setif ya Algeria na kufanya matokeo ya jumla kuwa 3 kwa 3. Simba imepata...
Zambia washinda kome la mataifa ya Afrika 2012 kwa mara ya kwanza na kuwaenzi vizuri mashujaa wenzao walifariki duniani miaka takribani 19 iliyopita
Timu ya soka bora duniani mwaka 2011kwa viwango vya FIFA (SHirikisho la Soka Duniani) ni timu ya Taifa la Hispania, Timu za Greece, Norway, Urusi, Italy, Chile, Ghana, Slovenia, Japan zimepanda viwango vya kandanda, timu ya ufaransa imeshuka kiwango...
Darubini 10 kubwa kuliko zote duniani ni hizi hapaJina na sehemu zilipo Urefu kutoka usawa wa bahari (m) Kipenyo cha lensi ya msingi (m) Mwaka wa kuanzishwa Jina la Darubini na Mji (kama ni Tofauti na Sehemu)1.  Mauna Kea Observatory (Hawaii,...