Wahasimu wa Messi wanadai;Messi ana Aguero, Di Maria na Higuan lakini wakashindwa kutwaa kombe la Copa America Ronaldo ana Nani, Ader na Quaresma na akashinda kombe la UEFA EUROMchezo wa jana wa Fainali za UEFA Euro 2016 katika...
Timu ya taifa la Ureno imeweza kunyakua ubingwa wa Euro 2016 baada ya kuibwaga timu ya Taifa ya Ufaranza (Wenyeji) kwa goli moja lililofungwa na Eder aliyefunga kwa shuti kali upande wa kulia mwa golkipa wa Ufaranza katika dakia za nyongeza baada ya timu hizo kutoka bila ya kufungana katika muda wa kawaida.