Nchi na mazingira

Countries & environments

Nchi Kongwe kwa Ustaarabu Duniani ni Misri.Misri ya kale yakadiriwa miaka 3,000 iliyopita ndiyo jamii kubwa iliyostaarabika kutokea Duniani. Wamisri waliishi kandokando ya mto Nile na kitamaduni walistaarabika katika namna wanavyoongea, wanavyoabudu, wanavyoelewa na kuchukulia ulimwengu wa kaisili, walivyojiendesha...
Nchi ya Urusi ndio nchi kubwa kwa eneo kuliko zote duniani ikifuatiwa na Kanada, Marekani ya tatu na Uchina ni ya nne. Aidha Brazili inafuatia ya tano na Australia ya sita na India ya Saba.Kwa Afrika nchi ya Sudan...