Mtoto wa miezi tosa (9) mafichoni kule LAHORE Pakistan kwa sababu ana kesi ya kujibu. Mtoto huyo pichani ambaye hata hawezi kunyanyua chupa yake ya maziwa anadaiwa kushiriki kwenye jaribio la mauaji.Baby huyo anayeitwa Musa Khan sasa yuko mafichoni...
Mjumbe wa Tume ya mabadiliko ya katiba Dk. Sengondo Mvungi aliyekuwa anapatiwa matibabu nchini Afrika Kusini amefariki dunia. Dr. Mvungi alivamiwa na kujeruhiwa vibaya na majambazi nyumbani kwake Kibamba Msakuzi jijini DSM mapema mwezi huu.Sengondo Mvungi alizaliwa 1952 na...
Toka jana jioni wakazi wa jiji la Arusha wameendelea kuwa katika taharuki na minong’ono hapa na pale kutokana na tukio la kupigwa risasi binti mmoja aitwaye Violeth Mathias katika ofisi za TRA Arusha. Mwanadada huyu aliyeonesha jeuri ambayo haikutegemea...
Polisi wamempiga risasi mwanamke anayeaminika ni mfanyabiashara kando ya benki ya mapato ya CRDB Arusha. Mashuhuda wamesema kuwa mama huyo alipaki gari lake vibaya na hapo ndipo mabishano yakaanza kati ya huyo mama na polisi. Mama alisikika akisema siwaogopi...
Ikiwa ni takribani mwezi mmoja tu tangu bomu lilipolipuka kwenye mkutano wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), mkoani Arusha, jana tukio kama hilo lilitokea jijini Dar es Salaam kwenye mkutano wa Mbunge wa Ubungo (Chadema), John Mnyika, ambao...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI kutoka ofisi ya kamanda wa plisi mkoa wa Arusha KUHUSU TUHUMA ZILIZOTOLEWA NA MBUNGE WA ARUSHA MH.GODBLES LEMA KUTUHUMUWA UJUMBE WA VITISHO NA MKUU WA MKOA WA ARUSHA MH.MAGESA MULONGONDUGU WANA HABARI mtakumbuka kwamba katika kipindi...