Julian Assange ambaye ni muasisi wa mtandao uliojipatia umaarufu kwa miaka ya hivi karibuni wa wikileaks kwa kulipua na kuanika uozo unaofanywa kwa siri na mataifa makubwa wanaojidai kuwa za kidemokrasia na wazi kwa watu wao amepewa hati maalumu...
Gazeti la MwanaHalisi toleo la Jumatano, 25, Julai 2012 limeandika kwa kina maelezo ya waliohusika na utekaji, utesaji na kujeruhiwa sana kwa kiongozi wa jumuiya ya madaktari Tanzania, Dr Steven Ulimboka mnamo tarehe 26 Juni 2012. Katika taarifa hiyo,...
Kumb. Na. AE/164/334/Vol.II/2 20 JULAI, 2012Makamu wa Rais, Corporate AffairsBarrick GoldS.L.P 1081Dar-es-SalaamUFAFANUZI KUHUS FAO LA KUJITOA KATIKA MAREKEBISHO YA SHERIA ZA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII.Ufuatao ni ufafanuzi mfupi kuhusu marekebisho ya Sheria za Mifuko hasa...
Aliyemteka, kumtesa na kumuumiza viabaya Dk. Ulimboka Akamatwa na Polisi. Taarifa ya kamanda wa kanda maalum ya Dar es salaam Kova kwa vyombo vya habari zimedai kuwa RAIA wa Kenya, Joshua Gitu Mulundi (31) amekamatwa na polisi jijini Dar...
Kule Misri hali sio shwari. Sasa siri ya kumuondoa Mubarak yafahamika. Muslim Brotherhood wanamiliki asilimia kubwa ya bunge na zaidi ya asilimia 98 ni wanaume. Wanawake ni asilimi 2 tu. Wakati wa Mubarak wanawake walikuwa ni asilimia 20% ya...
Aliyekuwa rais wa Misri kwa miongo mitatu mfululizo (miaka 30) Hosni Mubarak amekutwa na makosa ya kuamuru raia kuuawa na hivyo kuhukumiwa kifungo cha maisha jela. Taarifa iliyotufikia kutoka Televishen ya Taifa ya MisriBaadhi ya wamisri walionekana wakisheherekea...
Kampuni ya Mohamed Enterprises yauziwa viwanja kinyemela Bandari watumbua zaidi ya bilioni 1.5, waendesha miradi hewa Mabosi wanachomeka watumishi hewa, wanavuta mishaharaNa Manyerere Jackton, Dodoma Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh, ya mwaka wa fedha...
Marekani ina majimbo hamsini (50).  Majimbo mawili ya  mwisho  kujiunga na umoja ni Alaska (49) na Hawaii (50).  Yote yalijiunga mwaka 1959.Kila jimbo la marekani lina uhuru wake wa kujiamlia mambo yake yenyewe ambao unashirikishwa katika serikali ya shirikisho....