Marekani ina majimbo hamsini (50).  Majimbo mawili ya  mwisho  kujiunga na umoja ni Alaska (49) na Hawaii (50).  Yote yalijiunga mwaka 1959.Kila jimbo la marekani lina uhuru wake wa kujiamlia mambo yake yenyewe ambao unashirikishwa katika serikali ya shirikisho....
Kuna malumbano yamewahi na yanaweza kuendelea kutokea kwamba je ni haki au sio haki watoto wa vigogo kufuata nyayo za baba zao au mama zao hasa kwenye siasa.Wakati Nyerere aliiweka mbali familia yake isijinufaishe na siasa kwa sababu ya...
Kwa ufupi ziara hii imelenga masuala makubwa mawili ya kidiplomasiaKuimarisha masuala ya demokrasia Kuimarisha mahusiano ya kiuchumiBarack Obama atakaa siku mbili kati ya tarehe 1 na 2 Julai 2013 na kufanya Tanzania kutembelewa na marais wawili wa Marekani na wote...
Kuhusu kumshtaki PM ni kweli draft petition chini ya BRADEA iko tayari kwa kwenda mahakamani by alhamis Mungu akipenda. Tutaitisha press conference.Hata hivyo tunapambana na kisiki kimoja cha kisheria nacho ni ibara ya 100(1) ijapokuwa ibara ya 100(2) inatupatia...
Gazeti la MwanaHalisi toleo la Jumatano, 25, Julai 2012 limeandika kwa kina maelezo ya waliohusika na utekaji, utesaji na kujeruhiwa sana kwa kiongozi wa jumuiya ya madaktari Tanzania, Dr Steven Ulimboka mnamo tarehe 26 Juni 2012. Katika taarifa hiyo,...
Serikali iweke nguvu katika vipengele vichache na vya msingi kama ajira, afya, elimu na miundombinuAliwapongeza mawaziri John Magufuli kwa kuimarisha barabara na Dk. Harrison Mwakyembe kwa kubuni mbinu za kupunguza foleni jijini Dar es Salaam, alizosema zinachangia kuharibu uchumi...
Hii ndio Taarifa za hivi punde kutoka kwenye Kurugenzi ya Mwasiliano ya Rais kuwa Profesa Mussa Juma Assad ndie mdhibiti mkuu mpya wa hesabu za serikali (CAG) badala ya Ludovick Utouh aliyestaafu kwa mujibu wa sheria za ajira serikalini Tangu Tarehe 5 Novemba 2014. Haya yanatokea wakati sakata la pesa za kifiasadi za Tegeta Escrow akaunti ndio kwanza inawaka moto baada ya Bunge kuwakilisha rasmi kwa rais wa nchi ushauri wa kutengua na kuwaajibisha wale wote walioshiriki kwenye ufisadi wa Escrow akaunti kuanzia kwa wanasia, mahakimu, wafanyakazi wa serikali nk
Aliyemteka, kumtesa na kumuumiza viabaya Dk. Ulimboka Akamatwa na Polisi. Taarifa ya kamanda wa kanda maalum ya Dar es salaam Kova kwa vyombo vya habari zimedai kuwa RAIA wa Kenya, Joshua Gitu Mulundi (31) amekamatwa na polisi jijini Dar...
Kampuni ya Mohamed Enterprises yauziwa viwanja kinyemela Bandari watumbua zaidi ya bilioni 1.5, waendesha miradi hewa Mabosi wanachomeka watumishi hewa, wanavuta mishaharaNa Manyerere Jackton, Dodoma Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh, ya mwaka wa fedha...
Ripoti ya Ukatili wa Serikali ya Kikwete  inayofanywa na Jeshi la Polisi imefikishwa mbele ya Kamati ya Bunge la Marekani. Ripoti hii inaweza ikawa ndio mwisho wa matembezi ya Rais Kikwete kule Marekani na Ulaya??. Ripoti yenyewe imeambatanishwa hapaThe...
Rais Magufuli ameamuru kurudi haraka nyumbani mabalozi hawa Dr Batilda Buriani, Dr James Nsekela wa Italia na Peter Kalaghe wa Uingereza. Akitangaza hatua hiyo, Katibu mkuu kiongozi Ombeni sefue amesema Batilda na mabalozi wengine watano wamekuwa hawafanyi kazi kikamilifu...
Kumb. Na. AE/164/334/Vol.II/2 20 JULAI, 2012Makamu wa Rais, Corporate AffairsBarrick GoldS.L.P 1081Dar-es-SalaamUFAFANUZI KUHUS FAO LA KUJITOA KATIKA MAREKEBISHO YA SHERIA ZA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII.Ufuatao ni ufafanuzi mfupi kuhusu marekebisho ya Sheria za Mifuko hasa...
HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE, KWA WANANCHI, TAREHE 4 OKTOBA, 2013Ndugu Wananchi; Namshukuru Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehma, kwa kutujaalia uzima na kutuwezesha kumaliza mwezi Septemba salama na kuwasiliana kwa kutumia utaratibu...
Mkurugenzi mkuu wa NIDA (Vitambulisho vya Taifa) Bw Mwaimu amesimamishwa kazi kuanzia sasa. Sefue amesema yeye na vigogo wengine watatu wa NIDA wameaimamishwa kazi mara moja.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, ametengua...
Jiji la Arusha laanza kuhoji uhalali wa mali za chama hicho Siri zafichuka kuhusu umiliki Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Ulijengwa kwa nguvu za wananchi na serikali Umiliki wake ulikuwa chini ya Arusha Town Council kabla ya 1996WAKATI...
Kule Misri hali sio shwari. Sasa siri ya kumuondoa Mubarak yafahamika. Muslim Brotherhood wanamiliki asilimia kubwa ya bunge na zaidi ya asilimia 98 ni wanaume. Wanawake ni asilimi 2 tu. Wakati wa Mubarak wanawake walikuwa ni asilimia 20% ya...
Rais Magufuli amemfukuza kazi Katibu Tawala mkoa wa Katavi Madeni Kipande kwa kushindwa kazi na Rais kutokuridhishwa na utendaji kazi wake.Utenguzi huo wa KIPANDE umefanyika kabla hajathibitishwa kwenye cheo cha Katibu Tawala wa Mkoa wa Katavi kutokana na utendaji...
Aliyekuwa rais wa Misri kwa miongo mitatu mfululizo (miaka 30) Hosni Mubarak amekutwa na makosa ya kuamuru raia kuuawa na hivyo kuhukumiwa kifungo cha maisha jela. Taarifa iliyotufikia kutoka Televishen ya Taifa ya MisriBaadhi ya wamisri walionekana wakisheherekea...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI UHAMISHO NA UTEUZI WA MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI ______________________________________________             Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, amewahamisha na kuwateua baadhi ya Mawaziri na Naibu Mawaziri kama ifuatavyo:- 1.0              OFISI YA RAIS Hakuna mabadiliko. 2.0              OFISI...
Kufuatia sakata la operesheni tokomeza ujangili ulioanzishwa na kutekelezwa na watumishi wa serikali kwa kuwaacha walengwa ambao walikuwa ni maharamia wa meno ya Tembo na wawindaji wengine haramu. Imeripotiwa kuwa wanawake walibakwa na wengine kuuawa au kupotea, watu wazima...