Kuna malumbano yamewahi na yanaweza kuendelea kutokea kwamba je ni haki au sio haki watoto wa vigogo kufuata nyayo za baba zao au mama zao hasa kwenye siasa.Wakati Nyerere aliiweka mbali familia yake isijinufaishe na siasa kwa sababu ya...
Aliyekuwa waziri mkuu wa Uingereza Magareth Tatcher ambaye pia aliitwa "Mwanamke wa chuma" kwa misimamo yake dhabiti ambaye pia ni mwanamke wa kwanza kuwa waziri mkuu wa Uingereza amefariki leo mchana katika Umri wa miaka 87.Watoto wake wamedai mama...
Kufuatia sakata la operesheni tokomeza ujangili ulioanzishwa na kutekelezwa na watumishi wa serikali kwa kuwaacha walengwa ambao walikuwa ni maharamia wa meno ya Tembo na wawindaji wengine haramu. Imeripotiwa kuwa wanawake walibakwa na wengine kuuawa au kupotea, watu wazima...
Kule Misri hali sio shwari. Sasa siri ya kumuondoa Mubarak yafahamika. Muslim Brotherhood wanamiliki asilimia kubwa ya bunge na zaidi ya asilimia 98 ni wanaume. Wanawake ni asilimi 2 tu. Wakati wa Mubarak wanawake walikuwa ni asilimia 20% ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amefanya uteuzi wa wakuu wa Shirika la Utafiti wa Maendeleo ya Viwanda (TIRDO), Mhifadhi Mkuu wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro na Mkurugenzi wa Makumbusho ya Taifa. Katika uteuzi...
Mkurugenzi mkuu wa NIDA (Vitambulisho vya Taifa) Bw Mwaimu amesimamishwa kazi kuanzia sasa. Sefue amesema yeye na vigogo wengine watatu wa NIDA wameaimamishwa kazi mara moja.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, ametengua...
Kuhusu kumshtaki PM ni kweli draft petition chini ya BRADEA iko tayari kwa kwenda mahakamani by alhamis Mungu akipenda. Tutaitisha press conference.Hata hivyo tunapambana na kisiki kimoja cha kisheria nacho ni ibara ya 100(1) ijapokuwa ibara ya 100(2) inatupatia...
Gazeti la MwanaHalisi toleo la Jumatano, 25, Julai 2012 limeandika kwa kina maelezo ya waliohusika na utekaji, utesaji na kujeruhiwa sana kwa kiongozi wa jumuiya ya madaktari Tanzania, Dr Steven Ulimboka mnamo tarehe 26 Juni 2012. Katika taarifa hiyo,...
TAARIFA YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA MAZINGIRA KUHUSU TATHMINI YA ATHARI ZILIZOTOKANA NA OPARESHENI TOKOMEZA UJANGILI1.0 UTANGULIZIMheshimiwa Spika, wakati Bunge likijadili hoja ya kuahirisha shughuli za Bunge ili kujadili jambo muhimu la dharura kwa...
Jiji la Arusha laanza kuhoji uhalali wa mali za chama hicho Siri zafichuka kuhusu umiliki Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Ulijengwa kwa nguvu za wananchi na serikali Umiliki wake ulikuwa chini ya Arusha Town Council kabla ya 1996WAKATI...
Kwa ufupi ziara hii imelenga masuala makubwa mawili ya kidiplomasiaKuimarisha masuala ya demokrasia Kuimarisha mahusiano ya kiuchumiBarack Obama atakaa siku mbili kati ya tarehe 1 na 2 Julai 2013 na kufanya Tanzania kutembelewa na marais wawili wa Marekani na wote...
Hii ndio Taarifa za hivi punde kutoka kwenye Kurugenzi ya Mwasiliano ya Rais kuwa Profesa Mussa Juma Assad ndie mdhibiti mkuu mpya wa hesabu za serikali (CAG) badala ya Ludovick Utouh aliyestaafu kwa mujibu wa sheria za ajira serikalini Tangu Tarehe 5 Novemba 2014. Haya yanatokea wakati sakata la pesa za kifiasadi za Tegeta Escrow akaunti ndio kwanza inawaka moto baada ya Bunge kuwakilisha rasmi kwa rais wa nchi ushauri wa kutengua na kuwaajibisha wale wote walioshiriki kwenye ufisadi wa Escrow akaunti kuanzia kwa wanasia, mahakimu, wafanyakazi wa serikali nk
Marekani ina majimbo hamsini (50).  Majimbo mawili ya  mwisho  kujiunga na umoja ni Alaska (49) na Hawaii (50).  Yote yalijiunga mwaka 1959.Kila jimbo la marekani lina uhuru wake wa kujiamlia mambo yake yenyewe ambao unashirikishwa katika serikali ya shirikisho....
HATIMAYE Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Zitto Kabwe, ameweka wazi mshahara wa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.Zitto ameutaja mshahara huo wa Pinda anayejitambulisha kama ‘mtoto wa mkulima’ juzi mjini Mpanda na jana wilayani Sikonge...
Kumb. Na. AE/164/334/Vol.II/2 20 JULAI, 2012Makamu wa Rais, Corporate AffairsBarrick GoldS.L.P 1081Dar-es-SalaamUFAFANUZI KUHUS FAO LA KUJITOA KATIKA MAREKEBISHO YA SHERIA ZA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII.Ufuatao ni ufafanuzi mfupi kuhusu marekebisho ya Sheria za Mifuko hasa...
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Imezua mashaka ya vyama hivyo kuhojiwa kwani pamoja na Zitto kutoa taarifa kuwa atakuwa nje ya nchi kikazi, makamu wake, Deo Filikunjombe, naye amedai yuko jimboni na hajui kinachoendelea kuhusu vyama hivyo.
Rais Magufuli ameamuru kurudi haraka nyumbani mabalozi hawa Dr Batilda Buriani, Dr James Nsekela wa Italia na Peter Kalaghe wa Uingereza. Akitangaza hatua hiyo, Katibu mkuu kiongozi Ombeni sefue amesema Batilda na mabalozi wengine watano wamekuwa hawafanyi kazi kikamilifu...
IGP Mwema, RPC Andengenye watiwa hatiani na Josephat IsangoHATIMAYE ripoti ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, kuhusu vitendo vya uvunjaji wa haki za binadamu na mauaji yaliyotokea Arusha Januari 5, 2011 kwenye maandamano ya CHADEMA imevuja.Licha ya...
Rais Magufuli amemfukuza kazi Katibu Tawala mkoa wa Katavi Madeni Kipande kwa kushindwa kazi na Rais kutokuridhishwa na utendaji kazi wake.Utenguzi huo wa KIPANDE umefanyika kabla hajathibitishwa kwenye cheo cha Katibu Tawala wa Mkoa wa Katavi kutokana na utendaji...
Aliyekuwa rais wa Misri kwa miongo mitatu mfululizo (miaka 30) Hosni Mubarak amekutwa na makosa ya kuamuru raia kuuawa na hivyo kuhukumiwa kifungo cha maisha jela. Taarifa iliyotufikia kutoka Televishen ya Taifa ya MisriBaadhi ya wamisri walionekana wakisheherekea...